Kunatofatuti kati ya KUJUMLISHA na KUUNGANISHA
Vyovyote lakini tunataka TANGANYIKA yetu. Iwe ni kijumlisha, kutoa au kuzidisha. Kinachotakiwa ni serikali 3 au kila mtu ajijue kivyake vyake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunatofatuti kati ya KUJUMLISHA na KUUNGANISHA
Lakini hii sio hesabu, labda kwa wale vilaza wa hesabu.1 +1=1 yaani nchi mbili zinaungana ili kuunda taifa moja
Hamujui hesabu za seti. Union ina sehemu tatu, ina non union areas 2 na union area 1, yaani jula ni sehemu tatu
1 Zanzibar (Non union are)
2 Tanganyika (non union area)
3 Tanzania (inter-sectional area)
Tatizo nape na ccm wote hawajui hesabu ipi inatumila wapi?
tope tofauti hizo
Sijui watakula wapi tukianza kutoza kodi hizi tani lukuki za vyakula vinavyopakiwa kwenye boti kuelekea Unguja kila siku.
Znz haitegemei chakula kutoka bara. Ni asilimia ndogo tu inoenda znz. Wenyewe hakiwatoshi, mtaanza kufikiria kuuza nje?