MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Wakuu kuna kitu hakisemwi kuhusu huu mlipuko wa tatizo la figo.
Inatajwa pombe, soda na vitu vingine. Ni sawa ila mimi ninasisitiza watu tutumie kinga na tuwe waaminifu kwenye mapenzi.
Kila mtu nikiwemo mimi yupo kwenye hatari kubwa ya kuja kuwa na tatizo la figo endapo hatutaacha ushenzi na kutotumia kinga.