Tumieni Kinga wandugu

Tumieni Kinga wandugu

Yukwapi

Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
90
Reaction score
170
Habari za muda huu Wana JF

Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje?

Chatting zikawa kama hivi:

Mimi-Maishayangu siyaelewi wangu
Binti-kivipi mbona bila Salam
Mimi- Haina hata haja ya Salam sijui ntaishi muda gani?
Binti-Mhhh kwanini unasema hivyo
Mimi-Hali ya afya yangu sionzuri tuu nasijui nimetolea wapi huu ugonjwa
Binti- ugonjwa Gani??
Mimi- Acha tuu sijui nikuambiaje
Binti- ebu niambie tuu unaumwa nn maana sielew
Mimi- Nivigum ila kunadawa nilipewa nizitumie Kila siku
Binti- ukimwi?? Au??
Mimi- Ndio wanguu bt cjui nmetolea wap nasijawah kukucht nanlichek kabla cjawah na ww
Binti- Usiwazee mbona watu wanaishi nao tuu nahamna shida nikuzingatia tuu dawa nakumwomba mungu.
Mimi- utaweza kuendelea kuishi na Mimi
Binti-wewe ndiofaraja yangu nakupenda sana watu wanaishi hivyo nawananzisha familia
Mimi- Owk naomba nipumzike akili yangu haipo apa
Binti- Usikate tamaa nausiumize kichwa
Mimi-Bt vp wewe mwisho wa kumpima nilini
Binti-mwaka uliopita nankawa fresh
Mimi- 😭😭😭😭

Dahhh wakuu Hawa watoto wa afu mbili wanaogopa tuu mimbaa nasio Ukimwii huwezi amini nimemuigizia lakini haogopi chochotee anajibu kwa ujasiri tuu😂😂
 
Mimi- Haina hata haja ya Salam cjui ntaishi muda gan
Binti-Mhhh kwann unasema hivyo
Mimi-Hali ya afya yangu sionzuri tuu nasjui nimetolea wapi huu ugonjwa

Hii itakuwa ya kutunga bila shaka naye angeonyesha wasiwasi na kuzungumzia kuhusu kupima.
Wishful thinking, endelea.
 
Sasa umeshasewa mtoto wa afu mbili unashangaa nini tena?
 
Muda si mrefu watu wataanza kukimbiana mjini ngoja Trump amalizie utaratibu wa kulifuta kabisa lile dude, turud miaka ya 95-2000 walivyokuwa wanadondoka kama kuku wa kienyeji!
 
Habari za muda huu Wana JF

Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje?

Chatting zikawa kama hivi:

Mimi-Maishayangu siyaelewi wangu
Binti-kivipi mbona bila Salam
Mimi- Haina hata haja ya Salam sijui ntaishi muda gani?
Binti-Mhhh kwanini unasema hivyo
Mimi-Hali ya afya yangu sionzuri tuu nasijui nimetolea wapi huu ugonjwa
Binti- ugonjwa Gani??
Mimi- Acha tuu sijui nikuambiaje
Binti- ebu niambie tuu unaumwa nn maana sielew
Mimi- Nivigum ila kunadawa nilipewa nizitumie Kila siku
Binti- ukimwi?? Au??
Mimi- Ndio wanguu bt cjui nmetolea wap nasijawah kukucht nanlichek kabla cjawah na ww
Binti- Usiwazee mbona watu wanaishi nao tuu nahamna shida nikuzingatia tuu dawa nakumwomba mungu.
Mimi- utaweza kuendelea kuishi na Mimi
Binti-wewe ndiofaraja yangu nakupenda sana watu wanaishi hivyo nawananzisha familia
Mimi- Owk naomba nipumzike akili yangu haipo apa
Binti- Usikate tamaa nausiumize kichwa
Mimi-Bt vp wewe mwisho wa kumpima nilini
Binti-mwaka uliopita nankawa fresh
Mimi- 😭😭😭😭

Dahhh wakuu Hawa watoto wa afu mbili wanaogopa tuu mimbaa nasio Ukimwii huwezi amini nimemuigizia lakini haogopi chochotee anajibu kwa ujasiri tuu😂😂
Huyu dogo ana sifa zote za kuwa mke muhimu apimwe afya akiwa fresh tangaza ndoa huyu anakupenda kwel hana sababu ya kwann anakupenda.
 
Habari za muda huu Wana JF

Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje?

Chatting zikawa kama hivi:

Mimi-Maishayangu siyaelewi wangu
Binti-kivipi mbona bila Salam
Mimi- Haina hata haja ya Salam sijui ntaishi muda gani?
Binti-Mhhh kwanini unasema hivyo
Mimi-Hali ya afya yangu sionzuri tuu nasijui nimetolea wapi huu ugonjwa
Binti- ugonjwa Gani??
Mimi- Acha tuu sijui nikuambiaje
Binti- ebu niambie tuu unaumwa nn maana sielew
Mimi- Nivigum ila kunadawa nilipewa nizitumie Kila siku
Binti- ukimwi?? Au??
Mimi- Ndio wanguu bt cjui nmetolea wap nasijawah kukucht nanlichek kabla cjawah na ww
Binti- Usiwazee mbona watu wanaishi nao tuu nahamna shida nikuzingatia tuu dawa nakumwomba mungu.
Mimi- utaweza kuendelea kuishi na Mimi
Binti-wewe ndiofaraja yangu nakupenda sana watu wanaishi hivyo nawananzisha familia
Mimi- Owk naomba nipumzike akili yangu haipo apa
Binti- Usikate tamaa nausiumize kichwa
Mimi-Bt vp wewe mwisho wa kumpima nilini
Binti-mwaka uliopita nankawa fresh
Mimi- 😭😭😭😭

Dahhh wakuu Hawa watoto wa afu mbili wanaogopa tuu mimbaa nasio Ukimwii huwezi amini nimemuigizia lakini haogopi chochotee anajibu kwa ujasiri tuu😂😂
Vipi angekujibu "Usiwaze mbona watu wanaishi nao poa tu, hata mimi ninao siku nyingi tuu" 😂😂😂
 
Back
Top Bottom