Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Hili suala juu ya kuwepo kwa upungufu wa kiume kwenye jamii zetu lina ukweli ndani yake. Maana maisha ya siku hizi yalebadilika sana. Vyakula sio rafiki kwa afya, watu wana stress hivyo wanakunywa sana pombe, mabinti nao hawashikiki.
Hivyo maneno ya mbunge Neema wa CCM viti maalumu kuwa vijana wengi wanamatatizo ya kupafomu vizuri yana ukweli, hivyo watanzania msione aibu kutumia mitishamba ambayo miaka nenda rudi iliwasaidia wazee wetu.