Tumieni mitishamba ili kuleta heshima kwenye mahusiano yenu

Tumieni mitishamba ili kuleta heshima kwenye mahusiano yenu

Sio kweli mkuu, maana hizi zinasafisha na kurudisha upya afya ya ndoaa. Jaribu uone.
Bro, nina ushuhuda wa wahanga wengi sana wa hizo dawa.

Nashauri mtu apate ushauri ya kisaikolojia kuliko kuzitumia
 
Take it from me bro, usidanganyike na hiyo mitishamba usije ukaharibu ndoa yako in a long run though u will win in a short run
Usinitishe, wametumia babu zangu walikuwa na wake wanne na walikuwa wanafyatua fotokopi.
 
Usinitishe, wametumia babu zangu walikuwa na wake wanne na walikuwa wanafyatua fotokopi.
Mkuu uliwahi kukaa na wazee wako wakakwambia ya kuwa walikuwa wanatumia mitishamba kufanikisha michezo yao ya kwenye 6x6? Au ni kauli za vijiweni tuu ili ku-justify matumizi ya hiyo mitishamba kwa aiza mentality mbovu ama malengo yao binafsi?

Naomba uwe mkweli kwa nafsi yako na sii mimi
 
Back
Top Bottom