Umenena kweli kabisa mkuu, niliwahi kuwa na mtu ambae ye alikua shabiki wa Simba na hakuwa na itikadi ya chama cha mapinduzi Kwa kifupi alikua ni mpinzani flani hivi wa chini Kwa chini, aisee Kwa huyu show ilikuwa poa Sana Yani hadi we mwenyewe unasema eehhMuda mwingine performance ya mwanaume inategemea na appearance ya mwanamke, kama mwanaume ana allergy na kijani njano unadhani ataperform vipi!!!
Inaonekana kaishaliwa na wengi had kawajua walivyoMbunge analalamika kuwa wanaume wanamshindwa kazi?
Enzi zile na sasa ni tofauti kabisa mkuu, najua unalijua hilo wala hakuna haja ya kuelezeaMbona hata mababu zetu walitumia na mambo yakaenda vizuri.
Bro, kwa ujumla mitishamba ni tatizo. Especially kwenye sekta ya mahusianoMitishamba imebadilika?
Madhara yake ni kwamba baada ya muda mhusika hushindwa kufanya kazi bila kutumia hizo dawaKuongeza nguvu za kupafomu