Jerry Ekky
JF-Expert Member
- May 6, 2018
- 1,683
- 5,236
Bro, nina ushuhuda wa wahanga wengi sana wa hizo dawa.Sio kweli mkuu, maana hizi zinasafisha na kurudisha upya afya ya ndoaa. Jaribu uone.
hahaaaaa! mwanaume wa DarAje kwangu nmpatie dozi ya ukweli ndio ataamini vijana tuna nguvu, sjui hiyo research yake kaifanyia wapi.
Take it from me bro, usidanganyike na hiyo mitishamba usije ukaharibu ndoa yako in a long run though u will win in a short runWewe unatumia za matapeli, hujapata za ukweli.
Mkuu uliwahi kukaa na wazee wako wakakwambia ya kuwa walikuwa wanatumia mitishamba kufanikisha michezo yao ya kwenye 6x6? Au ni kauli za vijiweni tuu ili ku-justify matumizi ya hiyo mitishamba kwa aiza mentality mbovu ama malengo yao binafsi?Usinitishe, wametumia babu zangu walikuwa na wake wanne na walikuwa wanafyatua fotokopi.