Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
🤣 🤣 🤣 umeona kazi ya vikosi kule Zenji?Usiwadanganye watz wasiojua mawasiliano hakuna huduma ya ufo vpn free Africa labda baadhi ya nchi za ulaya huko. Vikosi vya ulinzi na usalama viko alert kwa lolote na lazima vione viashiria vya kuleta vurugu Bado mapema na baadhi mitandao ya kijamii huwa ndiyo chanzo
Kila mmoja atimize wajibu wake wewe nenda kapige kura na wacha vikosi vya usalama vifanye kazi zake mpaka kuapishwa kwa Rais Mteule hapo November