Tumikia ufalme wa nuru / Tumikia Ufalme wa Giza

Tumikia ufalme wa nuru / Tumikia Ufalme wa Giza

Mwandishi pia bado anataka kujifunza Ila nakwambia huwezi kujifunza kabla hujaingia na ukahitimu masomo yako jisajili Kwanza ndio ujifunze afu uone Kama utapata nguvu na muda wa kuja kutoa ushuhuda huku.
 
Changamoto ya ndugu Surya huwa anaanzisha nyuzi zenye ujumbe mzito, lakini huwa hafunguki kiini au ujumbe mahususi aliokusudia uwafikie wasomaji wake.

Nimeiona hali hiyo kwenye baadhi ya nyuzi zake nilizofanikiwa kuzisoma.

Akifika hatua ya kuweka bayana ujumbe wake kwa kina, huaga kwa ahadi za kurudi kumalizia ujumbe huo, lakini sijabahatika kuona mwendelezo.

Nakuomba mkuu Surya usiwe unaishia njiani, huenda mabandiko yako yakatuvusha wengine kwenda sehemu nyingine kiroho na kimwili.
 
Back
Top Bottom