Tumjadili: Green River Serial Killer,Gary Ridgway

hivi hii huwa inatokana na nini...? ni kurukwa kwa akili au ni mapepoo..
inategemeana na uko nchi gani unapouliza swali kama hili... huku kwetu tutakwambia uchawi, Europe watakwambia Mental problems... ila Marekani watakwambia inatokana na mazingira mtu aliyokulia
 
Ni fascinating. Hivi hawa ja wahi mshika sio?
 
yeah nabuka niliwah kusomaga sehem habari zake teana alikua akiua kawaida hakua akitumia sumu au kifaaa maalum
na pia alikua makini katika kuupoteza ushahidi ilikua kama amechubiliwa na lindo lake aidha kwa kucha au meno alikua tayri kulifanya jeraha lionekane la moto hata kwa kujiunguza au muda mwingine hujikata na kukamatwa kwake alikamatwa kibabe tu kupitia vpimo maana aliweza kuruka mitego mingi alotegewa ndani ya miaka hiyo yote ya mauaji
marekani ni nchi ajabu nilisoma sehem kuna dokta pia aliuwa watu zaidi ya mia mbili ila yeye alikua akiwaova dozi na kufanya vitu ambavyo anajua mgonjwa atakufa
 
Wazungu wengi wanaishi maisha ya msongo wa mawazo kiasi kwamba hayo mambo ni ya kawaida kwao...
 

Mkuu unaweza kutupatia jina la huyo Dokta tumdadavue kidogo kwenye youtube?
 
We simulia hiyo stor tupate knowledge sio kutuambia tujadili, tujadili nini? Ungeleta stor tungepata hata cha kujadil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…