Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeona documentary yake hadi nikaskitikaa
inategemeana na uko nchi gani unapouliza swali kama hili... huku kwetu tutakwambia uchawi, Europe watakwambia Mental problems... ila Marekani watakwambia inatokana na mazingira mtu aliyokuliahivi hii huwa inatokana na nini...? ni kurukwa kwa akili au ni mapepoo..
huyu ndo jack the ripper ama tofauti mkuunimeona documentary yake hadi nikaskitikaa
yeah nabuka niliwah kusomaga sehem habari zake teana alikua akiua kawaida hakua akitumia sumu au kifaaa maalum
na pia alikua makini katika kuupoteza ushahidi ilikua kama amechubiliwa na lindo lake aidha kwa kucha au meno alikua tayri kulifanya jeraha lionekane la moto hata kwa kujiunguza au muda mwingine hujikata na kukamatwa kwake alikamatwa kibabe tu kupitia vpimo maana aliweza kuruka mitego mingi alotegewa ndani ya miaka hiyo yote ya mauaji
marekani ni nchi ajabu nilisoma sehem kuna dokta pia aliuwa watu zaidi ya mia mbili ila yeye alikua akiwaova dozi na kufanya vitu ambavyo anajua mgonjwa atakufa