Tumjadili Hashim Dogo na Ufalme wake wa Hip - Hop

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Kisa ni ukongwe ndo unafanya aonekane mfalme?

Ana album/mix tape ngapi?

Video,nyimbo?

nini anawazidi hawa wa sasa?

Nani anafuata nyayo zake ?

Wapi hizo ngoma zake zinapatikana kwa sasa?

Amefanya harakati zipi kwenye bongo Hip hop?

MTAZAMO [MENTION=89275]Muuzasura Matola Mtamile kende gwijimimi Chinga One,@mr confident. Mgumu wa ara mtengwa GANJA ROLLER

m
na wengine.
 
Last edited by a moderator:
Hashim Dogo, au Dogo mwendawazimu ni among fathers wa hip hop tz, na angeendelea kufanya sanaa kwa public angekonga mpaka level za Africa kwa ujumla.
Pakupata nyimbo zake kuanzia Shadow in the darkness na zingine ni jitihada zako binafsi.
 
nyimbo zake kumi zinafika?

hapo nimesikiliza mbili tu ule tunasonga na moja yupo na JCB
Kaveli
 
Last edited by a moderator:
Hashim Dogo, au Dogo mwendawazimu ni among fathers wa hip hop tz, na angeendelea kufanya sanaa kwa public angekonga mpaka level za Africa kwa ujumla.
Pakupata nyimbo zake kuanzia Shadow in the darkness na zingine ni jitihada zako binafsi.

Hizo tunaweza zipataje
 
GADO TZ Ahsante kwa elimu!! kuna wimbo hapa nausikiliza kaimba na JCB ni kama freestyle hivi.

Hizo nyimbo nyingi ni zipi sasa tuzijadili hapa
 
Last edited by a moderator:
GADO TZ Ahsante kwa elimu!! kuna wimbo hapa nausikiliza kaimba na JCB ni kama freestyle hivi.

Hizo nyimbo nyingi ni zipi sasa tuzijadili hapa
Nyimbo nyingi za Hashim hazikufika kwenye mainstream hivyo inakuwa vigumu kujadiliana sababu tutakosa deatils.
 
Yaani watu wakiamua kumpaisha mtu teh teh, yaani nyimbo zake hata tano hazifiki then wanamuita mfalme
 
Nyimbo nyingi za Hashim hazikufika kwenye mainstream hivyo inakuwa vigumu kujadiliana sababu tutakosa deatils.

Wewe unazifahamu ngapi,ambazo hazikufika media?

huoni tunalishana matango pori ,kwa tusiowahi kusikiliza ngoma zake nyingi.
 
Exactly ni mfalme wa Hiphop sio mfalme wa mainstream.

Sawa ataendelea kuwa mfalme wa gheto huko, maana maintream hajagusa. Kati ya watz 200 pengine ndo unaweza ukamkuta mmoja anayemjua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…