Tumjadili Hashim Dogo na Ufalme wake wa Hip - Hop

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Kisa ni ukongwe ndo unafanya aonekane mfalme?

Ana album/mix tape ngapi?

Video,nyimbo?

nini anawazidi hawa wa sasa?

Nani anafuata nyayo zake ?

Wapi hizo ngoma zake zinapatikana kwa sasa?

Amefanya harakati zipi kwenye bongo Hip hop?

MTAZAMO [MENTION=89275]Muuzasura Matola Mtamile kende gwijimimi Chinga One,@mr confident. Mgumu wa ara mtengwa GANJA ROLLER

m
na wengine.
 
Last edited by a moderator:
Hashim Dogo, au Dogo mwendawazimu ni among fathers wa hip hop tz, na angeendelea kufanya sanaa kwa public angekonga mpaka level za Africa kwa ujumla.
Pakupata nyimbo zake kuanzia Shadow in the darkness na zingine ni jitihada zako binafsi.
 
nyimbo zake kumi zinafika?

hapo nimesikiliza mbili tu ule tunasonga na moja yupo na JCB
Kaveli
 
Last edited by a moderator:
Hashim Dogo, au Dogo mwendawazimu ni among fathers wa hip hop tz, na angeendelea kufanya sanaa kwa public angekonga mpaka level za Africa kwa ujumla.
Pakupata nyimbo zake kuanzia Shadow in the darkness na zingine ni jitihada zako binafsi.

Hizo tunaweza zipataje
 
Kisa ni ukongwe ndo unafanya aonekane mfalme?
Hapana kisa sio ukongwe kuna waliotangulia kabla yake, tunampa hiyo hadhi sababu ya kipaji chake

Ana album/mix tape ngapi?

uwezo wa mc haupimwi kwa idadi ya mixtape au album

Video,nyimbo?

Ana nyimbo nyingi tu ikiwemo i shot the mc

nini anawazidi hawa wa sasa?
kikubwa alichowazidi awa wa sasa ni uwezo wa kufloor na utunzi mzuri wa mashairi, alikuwa na uwezo mkubwa wa kuchana kiswahili fasaha na kingereza fasaha, pia kufree style kwa ubunifu wa hali ya juu

Nani anafuata nyayo zake ?
mimi binafsi nilidhania One The Incredible atafuata nyayo zake ila akuweza kufikia ata robo ya uwezo wa Mwendawazimu dogo
Wapi hizo ngoma zake zinapatikana kwa sasa?
Bahati mbaya hakuwepo kwenye hiziz zama za digital ila kuna baadhi ya ngoma zake pale kikosini au kwa Pfunk

Amefanya harakati zipi kwenye bongo Hip hop?
Amewainspire wengi kufanya hiphop nzuri ya kuumiza kichwa mfano wafuatao wamekuwa inspired na Hashim Dogo MwanaFA, One the Inredible, Langa, Wasanii wengi wa kikosi, PFunk, Jaymoe, Chid Benz, SoloThang nk

Kumbuka SoloThang alishawai kutekwa na Kikosi kwa kutuhumiwa kukopi style ya Hashim.

MwanaFA wakati anaanza ilibidi BoniLuv afanye kazi ya ziada kumbadilisha sababu alikuwa ana sound kama Hashim ata jina lake la kisanii alijiita Hamis.
Haya ni baadhi tu ya mambo kutoka kwa Hashim Dogo AKA Bongo psychological
 
GADO TZ Ahsante kwa elimu!! kuna wimbo hapa nausikiliza kaimba na JCB ni kama freestyle hivi.

Hizo nyimbo nyingi ni zipi sasa tuzijadili hapa
 
Last edited by a moderator:
GADO TZ Ahsante kwa elimu!! kuna wimbo hapa nausikiliza kaimba na JCB ni kama freestyle hivi.

Hizo nyimbo nyingi ni zipi sasa tuzijadili hapa
Nyimbo nyingi za Hashim hazikufika kwenye mainstream hivyo inakuwa vigumu kujadiliana sababu tutakosa deatils.
 
Yaani watu wakiamua kumpaisha mtu teh teh, yaani nyimbo zake hata tano hazifiki then wanamuita mfalme
 
Hapana kisa sio ukongwe kuna waliotangulia kabla yake, tunampa hiyo hadhi sababu ya kipaji chake

uwezo wa mc haupimwi kwa idadi ya mixtape au album

Ana nyimbo nyingi tu ikiwemo i shot the mc

kikubwa alichowazidi awa wa sasa ni uwezo wa kufloor na utunzi mzuri wa mashairi, alikuwa na uwezo mkubwa wa kuchana kiswahili fasaha na kingereza fasaha, pia kufree style kwa ubunifu wa hali ya juu

mimi binafsi nilidhania One The Incredible atafuata nyayo zake ila akuweza kufikia ata robo ya uwezo wa Mwendawazimu dogo

Bahati mbaya hakuwepo kwenye hiziz zama za digital ila kuna baadhi ya ngoma zake pale kikosini au kwa Pfunk

Amewainspire wengi kufanya hiphop nzuri ya kuumiza kichwa mfano wafuatao wamekuwa inspired na Hashim Dogo MwanaFA, One the Inredible, Langa, Wasanii wengi wa kikosi, PFunk, Jaymoe, Chid Benz, SoloThang nk

Kumbuka SoloThang alishawai kutekwa na Kikosi kwa kutuhumiwa kukopi style ya Hashim.

MwanaFA wakati anaanza ilibidi BoniLuv afanye kazi ya ziada kumbadilisha sababu alikuwa ana sound kama Hashim ata jina lake la kisanii alijiita Hamis.
Haya ni baadhi tu ya mambo kutoka kwa Hashim Dogo AKA Bongo psychological

Nitajie hits zake 5 tu then tuendelee
 
Nyimbo nyingi za Hashim hazikufika kwenye mainstream hivyo inakuwa vigumu kujadiliana sababu tutakosa deatils.

Wewe unazifahamu ngapi,ambazo hazikufika media?

huoni tunalishana matango pori ,kwa tusiowahi kusikiliza ngoma zake nyingi.
 
Nimeshazisikiliza nyingi tu, ila sio zote nimezishika majina. Sikia hii kafanya na Afroreign hiki ni kipindi wanarekodi kwa tape hakukuwa na CD wala hii teknolojia ya sasa ya kurekodi https://www.youtube.com/watch?v=fxMk88vePvA

huoni tunalishana matango pori ,kwa tusiowahi kusikiliza ngoma zake nyingi.

Sikulishi matango pori ila kazi ya kukuletea nyimbo zake hapa zote sio rahisi, otherwise kama kuna hoja unashindwa namna ya kuiibua.
 
Exactly ni mfalme wa Hiphop sio mfalme wa mainstream.

Sawa ataendelea kuwa mfalme wa gheto huko, maana maintream hajagusa. Kati ya watz 200 pengine ndo unaweza ukamkuta mmoja anayemjua
 
Back
Top Bottom