Tumjadili Hashim Dogo na Ufalme wake wa Hip - Hop

Kama alishindwa kwenda mainstream enzi hizo hakuna ushindani mkubwa n' hakuna ubanaji wa Hiphop redioni basi hawezi kuwa mkali huyo
 
Hapana kisa sio ukongwe kuna waliotangulia kabla yake, tunampa hiyo hadhi sababu ya kipaji chake

uwezo wa mc haupimwi kwa idadi ya mixtape au album

Ana nyimbo nyingi tu ikiwemo i shot the mc

kikubwa alichowazidi awa wa sasa ni uwezo wa kufloor na utunzi mzuri wa mashairi, alikuwa na uwezo mkubwa wa kuchana kiswahili fasaha na kingereza fasaha, pia kufree style kwa ubunifu wa hali ya juu

mimi binafsi nilidhania One The Incredible atafuata nyayo zake ila akuweza kufikia ata robo ya uwezo wa Mwendawazimu dogo

Bahati mbaya hakuwepo kwenye hiziz zama za digital ila kuna baadhi ya ngoma zake pale kikosini au kwa Pfunk

Amewainspire wengi kufanya hiphop nzuri ya kuumiza kichwa mfano wafuatao wamekuwa inspired na Hashim Dogo MwanaFA, One the Inredible, Langa, Wasanii wengi wa kikosi, PFunk, Jaymoe, Chid Benz, SoloThang nk

Kumbuka SoloThang alishawai kutekwa na Kikosi kwa kutuhumiwa kukopi style ya Hashim.

MwanaFA wakati anaanza ilibidi BoniLuv afanye kazi ya ziada kumbadilisha sababu alikuwa ana sound kama Hashim ata jina lake la kisanii alijiita Hamis.
Haya ni baadhi tu ya mambo kutoka kwa Hashim Dogo AKA Bongo psychological

Nataka nikusahihishe. ..solo hakutekwa na kikosi sababu ya kukopy style ya hasheem. ..mkasa wa solo ulianzia lang'ata, solo alimshinda hasheem kwenye freestyle then solo na wenzake kama jmo, tid na wasanii waliokuwa chini ya label ya bongo records walifanya wimbo unaitwa bongo chelea pina. ....Ktk wimbo huu verse ya solo ikitafsiriwa kama kamchana dogo (ila hakumchana, tafuta wimbo uusikilize)...ndipo kikosi kilipomteka... nilikuwepo lang'ata kwenye show ya times fm wkt tukio linatokea so naelewa picha lote vizuri sana
 
Pengine tutamkumbuka tu kwa kuwa ni moja kati ya wale walionza huu mziki zamani kidogo kipindi una anza anza, sio rahisi kumkumbuka kama mfalme. maana watoto waliozaliwa miaka ishirini iliyopita asilimia 98 hawamfahamu Hashimu Dogo Hata humu jukwaani tu ukiuliza ni wangapi wanamfahamu Hashimu dogo nadhani asilimia 80 hawafiki. sasa hapa tunaanzaje kumwita mfalme??
 
Solothang hawezi kufreestyle atawezaje kumshinda Hashimu mwenye uwezo wa kufreestyle ata siku nzima tena anafloo vitu vinavyomake sense?....By the way kwenye bongo chelea pina Solo hakuwadiss kikosi na hii track ilitoka wakati hii ishu ishapoa.
 
Soma vizuri nilichoandika. ....kama ulikuwa unahudhuria kwenye star search ya lang'ata ndio utajua, solo ametekwa wkt wimbo umeshatoka na Ktk verse yake alimtaja hasheem lkn sio kwa kudiss na ndio hicho kilikuwa mwendelezo wa visasi. ....na isitoshe hasheem hawezi kuwa mfalme wa hiphop bongo. ....maana miaka ya 90' waliokuwa wanatamba ni kwanza unit (d rob na kibacha, ramson walikuwa wazuri sana kwa kiswahili)...kuanzia mwaka 94' mpk miaka ya 99' alikuwa anatamba Mr 2, then akashika pro Jay. .....hasheem aliweza alibamba kama walivyobamba wakina sos b......unasema solo hajui freestyle? itaonekana we unasimuliwa mambo yalivyokuwa
 
Tupo dunia tofauti hatuwezi kuelewana. Unaonekana mshikaji una mapenzi makubwa sana na Fm radios, sisi wengine haya mambo tumeanza kuyafatilia kabla ya ujio wa Fm.

Wakina 2 Proud,Balozi mbona tuliwafaham kabla ya FM kuanza kuwa hot,yeye alikuwa wapi?
 
Pengine tutamkumbuka tu kwa kuwa ni moja kati ya wale walionza huu mziki zamani kidogo kipindi una anza anza, sio rahisi kumkumbuka kama mfalme. maana watoto waliozaliwa miaka ishirini iliyopita asilimia 98 hawamfahamu Hashimu Dogo Hata humu jukwaani tu ukiuliza ni wangapi wanamfahamu Hashimu dogo nadhani asilimia 80 hawafiki. sasa hapa tunaanzaje kumwita mfalme??

Kwanini hata kitukuu chako kitamwita Pele mfalme wakati hata Messi hakijamshuhudia? .......kuna watu wamezaliwa na vitu ambavyo ni ngumu kuvipata kwa mwingine yeyote ......Hashim Dogo ni mfalme kwa tuliomsikia kipindi hicho na hata sasa tunasikiliza mziki .............
 
Solothang hawezi kufreestyle atawezaje kumshinda Hashimu mwenye uwezo wa kufreestyle ata siku nzima tena anafloo vitu vinavyomake sense?....By the way kwenye bongo chelea pina Solo hakuwadiss kikosi na hii track ilitoka wakati hii ishu ishapoa.

Ajabu sana.......vijana wa juzi wanamtaja hadi FID Q kuwa mfalme wakati hawezi freestyle kabisa ........
 
Ni kigezo gani mnampa hasheem ufalme? ...nimegundua wengi humu hawakuwa hata wanaudhuria matamasha that time. ....nashukuru nilikuwa mmoja wa waandaji wa matamasha kipindi hicho. .....hasheem alikuwa mzuri kwenye kiingereza lakini sio kwa freestyle (kumbuka wengi walikuwa wana freestyle mistari waliokuwa tyr wameshaitunga, ndio maana ngwear anabaki kuwa king of freestyle wa bongo).
Hashim kilichokuwa kinambeba ni sauti yake nzito yenye punch na style yake ambayo maneno yalikuwa yanasikika, tofauti na wengi kipindi hicho walikuwa wana rap kwa speed na wanafanya tongue twist.......na isitoshe Hashim wengi wamemjua kupitia fm radio kwa wimbo wake aliofanya na unique sisters pamoja na huu dark of. ..... , kwenye matamasha mengi alikuwa si muudhuriaji, inakuwaje leo umpe taji la ufalme?
 
Waliopanda wameshuka, wanatetemeka hawana pakushika itafahamikaa (ney wa mitego )
Hili game gumu, so take care aliimba niki mbishi nini huyo dogo hashimu
 
Ni kigezo gani mnampa hasheem ufalme? ...nimegundua wengi humu hawakuwa hata wanaudhuria matamasha that time. ....nashukuru nilikuwa mmoja wa waandaji wa matamasha kipindi hicho. .....hasheem alikuwa mzuri kwenye kiingereza lakini sio kwa freestyle (kumbuka wengi walikuwa wana freestyle mistari waliokuwa tyr wameshaitunga, ndio maana ngwear anabaki kuwa king of freestyle wa bongo).
Hashim kilichokuwa kinambeba ni sauti yake nzito yenye punch na style yake ambayo maneno yalikuwa yanasikika, tofauti na wengi kipindi hicho walikuwa wana rap kwa speed na wanafanya tongue twist.......na isitoshe Hashim wengi wamemjua kupitia fm radio kwa wimbo wake aliofanya na unique sisters pamoja na huu dark of. ..... , kwenye matamasha mengi alikuwa si muudhuriaji, inakuwaje leo umpe taji la ufalme?

Hashim dogo hakuwa mzuri kwenye freestyle? .....unajua wengi kwenye "shadow of a dark destiny" tulipenda Zaidi mistari ya Kiswahili? Tafadhali mkuu .....huyu legend kipindi kile na mazingira ya muziki hasa Hip hop ilikuwa bado haipewi nafasi lakini akafanikiwa kuifanya kwa kiwango ambacho flow yake hata sasa ni ngumu kuipata pamoja na technology iliyopo Bongo.
 
Alkua tu mwandishi mzuri, kuusu ufalme iyo hapana aise, lakini rhymin jamaa kweli ALIKUA anaweza, sasa kwanin siku izi hayupo? nnavyojua mtu kuitwa mfalme ina maana we ni kiongozi wa teritory mpaka kufa, sasa hatuwezi kumuita mfalme akati hayupo tena, ha-exist.. tumuiteni best lyrcist au best rhymer au best freestyler, au sijui nini kingine, kuhusu ufalme hapana
 
Kiongozi unachanganya sana mambo mpaka nashindwa kukupata kama tupo kurasa moja kwenye jambo tunalolizungumzia mbele yetu.
 
Hashim dogo hakuwa mzuri kwenye freestyle? .....unajua wengi kwenye "shadow of a dark destiny" tulipenda Zaidi mistari ya Kiswahili? Tafadhali mkuu .....huyu legend kipindi kile na mazingira ya muziki hasa Hip hop ilikuwa bado haipewi nafasi lakini akafanikiwa kuifanya kwa kiwango ambacho flow yake hata sasa ni ngumu kuipata pamoja na technology iliyopo Bongo.
Na mimi nimeshangaa.
 
Ku freestyle wengi walikuwa wanachanganya na verse walizokuwa wametunga zamani. ...mmojawapo ni hasheem, nakumbuka ilikuwa lang'ata walishindanishwa Hashim na solothang kisha taji liundi akawauliza fans wachague nani mshindi, wakasema solooooo
Hashim amefahamika wkt Sugu tayari ana album moja na hard blasters wana album moja na walikuwa wanapendwa ile mbaya na sos b alikuwa yupo juu that time(walikuwa kundi moja black houndz)
Hivyo kusema jamaa ni mfalme hamumtendei haki.
 
Alkua tu mwandishi mzuri, kuusu ufalme iyo hapana aise, lakini rhymin jamaa kweli ALIKUA anaweza, sasa kwanin siku izi hayupo? nnavyojua mtu kuitwa mfalme ina maana we ni kiongozi wa teritory mpaka kufa, sasa hatuwezi kumuita mfalme akati hayupo tena, ha-exist.. tumuiteni best lyrcist au best rhymer au best freestyler, au sijui nini kingine, kuhusu ufalme hapana

Tunamwita mfalme sababu ni package iliyokamilika ya hiphop, wenzake wengi wanafanya vizuri lakini wakosa baadhi ya vitu muhimu kwenye utamaduni wa hiphop. Kwa mfano Kwanza Unit ni wachanaji wazuri lakini hawakuwa na ujuzi wa kufreestyle kitu ambacho pia anakikosa Fid Q.

Kuhusu uhandishi wake pia ni baabkubwa ndio maana ukimsikia anavyochana ni ana tiririka sababu anaandika hatungi kupata punchline kali.
 
Back
Top Bottom