Tumjadili Thadeo Lwanga

Tumjadili Thadeo Lwanga

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Tumjadili Thadeo Lwanga kwa mechi 3 za Mapinduzi Cup inayoendelea Zanzibar.

Je atakua msaada kwa Simba? Wakati tunamjadili Lwanga tuangalie na uwezo wa
1. Mkude
2. Mzamiru
3. Ndemla na mtangulizi wale[emoji116]
4.Gerson Fraga


FB_IMG_16103908137267934.jpg
 
Hata Fraga mlianza kudhihaki lakini baadae mlipiga salute wenyewe!

Lwanga anahitaji muda wa ku regain fitness! Ni mzuri, nadhani mliona baada ya yeye kutoka katikati palipwaya.
Fraga alikuwa mzuri toka mwanzo ila mwalimu hakupenda kumtumia mpaka Mkude alipoumia ndio akapata nafasi ila ni mapema mno kumlaumu Lwanga anaweza kuwa kama Ochan
 
Lwanga ni mzuri sana, kwenye gemu na Namungo, alipotolewa Simba ikaelemewa sana kipindi cha 2
Kila mechi anapoingia Mugalu tunashambuliwa sana.
Hakabi kabisa, anatembea tu kusubiri kupitishiwa pasi huku akitafuna Big G

Hata mechi na Namungo alivyoingia ikawa Simba inacheza na wachezaji 9 uwanjani na kipa wa 10.

Jamaa ni mzito hatari, Matola alifanyie kazi hili tatizo
 
Nahisi Kama tumepigwa tena....akiwa anakaba anacheza rafu sana tena nyingi anatumia na mikono....mipira ya juu naona inapita tu....labda tumpe muda zaidi.....ila yule beki wa kati wa majaribio.....arudushwe kwao haraka....hafai kabisa.
 
Back
Top Bottom