Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni mzuri anahitaji mudaLwanga ni mzuri sana, kwenye gemu na Namungo, alipotolewa Simba ikaelemewa sana kipindi cha 2
Hata mi nimeliona hilo.Matola ameharibu mchezo kwa upumbavu wake.Lwanga ni mzuri sana, kwenye gemu na Namungo, alipotolewa Simba ikaelemewa sana kipindi cha 2
Matola kwenye Post-match interview anasema alipata injury,so hakuwa amepanga kumtoaHata mi nimeliona hilo.Matola ameharibu mchezo kwa upumbavu wake.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Na waarabu wanavyojua kutafuta foulsLwanga kwa mechi kubwa za Al Ahly penat au red card vitamuhusu.
Fraga alikuwa mzuri toka mwanzo ila mwalimu hakupenda kumtumia mpaka Mkude alipoumia ndio akapata nafasi ila ni mapema mno kumlaumu Lwanga anaweza kuwa kama OchanHata Fraga mlianza kudhihaki lakini baadae mlipiga salute wenyewe!
Lwanga anahitaji muda wa ku regain fitness! Ni mzuri, nadhani mliona baada ya yeye kutoka katikati palipwaya.
Kila mechi anapoingia Mugalu tunashambuliwa sana.Lwanga ni mzuri sana, kwenye gemu na Namungo, alipotolewa Simba ikaelemewa sana kipindi cha 2
Tumepigwaa, anacheza sana rafu, hayuko smart kwenye kukaba, pasi hasa za kuhamisha mipira sijaona kwakwel, turns zake pia mmh..
Hivi huko Utopolo hamna cha kujadili zaidi ya Simba? Je Sarpong naye dili?