Mwaka gani huo, na ilikua nafasi ya ngapi?Simba wakati haina pesa ilikuwa inasajili wachezaji wazuri lakini sasa hivi inaungaunga
We mpira hujui, moyo kashindwa kuonesha kitu, game zoote kacheza kipi cha ajabu kushawishi benchi la ufundiKuna mchezaji anaitwa Moyo, ni mzuri kupita kiasi ana chenga anakaa na mpira na ana advnce, lakn naambiwa akrushiwa virago vyake na Matola.
kikweli sasa ndiyo naona kwann hatuna makocha. hivi unawezaje kumchukua Lwanga ukamtema Moyo?
Matola anasaliji kwa ajili ya 10% siyo kwa ajili ya uwezo wa mtu. Maana Moyo ni mzuri mnooo
We mpira hujui, moyo kashindwa kuonesha kitu, game zoote kacheza kipi cha ajabu kushawishi benchi la ufundi
[/QUOUmeongea ukweli mkuu....huyo moyo nae hakuna kitu....lwanga nae tumepigwa mapema.
Tatzo la mashabik wa simba wamepoa sana hawawapi changamoto viongoz mo na wenzake wanajiamulia wanavyotaka wanaleta wachezaj wa kawaida kila siku imagine msim wa tatu wanafka final wanafungwa watatufarij na maneno yao et ndio mpra kumbe uzembe wao nawaza sababu gan iliwafanya chama luis na bwalya wasiende zanzibar hawajasema kama wagonjwa hakuna taarifa kama wameitwa tim ya taifa kuna mambo wanayafanya kama vile mpra wanacheza pekee yao ,kwa akir ya ile bodi mafanikio ya simba yatakua ni yale yale kufka robo fainal cafNisikilizeni, Lwaga ni wa kawaida. Seems Simba kwenye usajili longolongo nyingi. Msishangae tukaletewa kocha wa kawaida sana pia. Pamoja na kutokubali baadhi ya sajili lakini bado tuna timu bora sana, tunahitaji technical team makini tu.
Kwa kweli kuna tatizo kubwa Simba....Sijui kwanini?
Kweli kabisa mkuu.... tumepigwa mapema....yaani kikosi cha leo...binafsi nimeona wachezaji wa maana wanne tu... onyango....Beno.....Gadieli....na Kidogo Kahata..... wengine wote bora watolewe kwa mkopo.Mugalu mmepigwa Watani
Kwa kweli kuna tatizo kubwa Simba....
Kweli kabisa mkuu.... tumepigwa mapema....yaani kikosi cha leo...binafsi nimeona wachezaji wa maana wanne tu... onyango....Beno.....Gadieli....na Kidogo Kahata..... wengine wote bora watolewe kwa mkopo.
Mmepigwa vipi wakati mmemchukua bure?Tumepigwaa, anacheza sana rafu, hayuko smart kwenye kukaba, pasi hasa za kuhamisha mipira sijaona kwakwel, turns zake pia mmh..
Hata tadeo kama atapunguza rafu na kukaba vizuri ni mtu sanaKwa kweli kuna tatizo kubwa Simba....
Kweli kabisa mkuu.... tumepigwa mapema....yaani kikosi cha leo...binafsi nimeona wachezaji wa maana wanne tu... onyango....Beno.....Gadieli....na Kidogo Kahata..... wengine wote bora watolewe kwa mkopo.
Ni mzimbabwe aliyekuwa anachza soka afrika kusini yupo kwa majaribioHuyu Moyo akiyekuwa benchi Jana Ni nani
SiMara nyingi kazi ya kusajili hufanywa na kamati ya usajili.... kwa sababu ya majukumu ya kimaisha....wajumbe wake hawana muda wa kufatilia wachezaji....ushauri kwa uongozi....kamati hii ni ya muhimu sana....wangeifanya wajumbe Wake wakawa na ajira angalau ya mkataba... hii ingewasadia wajumbe kuwa na utulivu wakati wa kutafuta wachezaji.
10% ndugu
Hivi ndugu .simba ina striker wa kupambana group stage?
Why wasimchukue chikwendwe skins mugalu waachwe?
[/QUOTSimba hatuna mshabuliaji mpambanaji...Kagere na Mugalu wao wanasubiria waletewe kwanye sita....nje ya sita hawana madhara....Bocco kidogo anajitahidi hata nje sita...kwa kuwa anauwezo wa kukaa na mpira....tatizo lake sio mpambanaji.....akikutana na beki za Kazi kazi....anafichwa kilaini Sana....eneo hili inabidi Mo na uongpzi wavunje bank...hakuna mchezaji mzuri wa bei rahisi duniani kwa Sasa,