Tumjadili Thadeo Lwanga

Tumjadili Thadeo Lwanga

Kuna mchezaji anaitwa Moyo, ni mzuri kupita kiasi ana chenga anakaa na mpira na ana advnce, lakn naambiwa akrushiwa virago vyake na Matola.

kikweli sasa ndiyo naona kwann hatuna makocha. hivi unawezaje kumchukua Lwanga ukamtema Moyo?

Matola anasaliji kwa ajili ya 10% siyo kwa ajili ya uwezo wa mtu. Maana Moyo ni mzuri mnooo
We mpira hujui, moyo kashindwa kuonesha kitu, game zoote kacheza kipi cha ajabu kushawishi benchi la ufundi
 
Nisikilizeni, Lwaga ni wa kawaida. Seems Simba kwenye usajili longolongo nyingi. Msishangae tukaletewa kocha wa kawaida sana pia. Pamoja na kutokubali baadhi ya sajili lakini bado tuna timu bora sana, tunahitaji technical team makini tu.
 
We mpira hujui, moyo kashindwa kuonesha kitu, game zoote kacheza kipi cha ajabu kushawishi benchi la ufundi
[/QUOUmeongea ukweli mkuu....huyo moyo nae hakuna kitu....lwanga nae tumepigwa mapema.
 
Nisikilizeni, Lwaga ni wa kawaida. Seems Simba kwenye usajili longolongo nyingi. Msishangae tukaletewa kocha wa kawaida sana pia. Pamoja na kutokubali baadhi ya sajili lakini bado tuna timu bora sana, tunahitaji technical team makini tu.
Tatzo la mashabik wa simba wamepoa sana hawawapi changamoto viongoz mo na wenzake wanajiamulia wanavyotaka wanaleta wachezaj wa kawaida kila siku imagine msim wa tatu wanafka final wanafungwa watatufarij na maneno yao et ndio mpra kumbe uzembe wao nawaza sababu gan iliwafanya chama luis na bwalya wasiende zanzibar hawajasema kama wagonjwa hakuna taarifa kama wameitwa tim ya taifa kuna mambo wanayafanya kama vile mpra wanacheza pekee yao ,kwa akir ya ile bodi mafanikio ya simba yatakua ni yale yale kufka robo fainal caf
 
Kwa kweli kuna tatizo kubwa Simba....
Kweli kabisa mkuu.... tumepigwa mapema....yaani kikosi cha leo...binafsi nimeona wachezaji wa maana wanne tu... onyango....Beno.....Gadieli....na Kidogo Kahata..... wengine wote bora watolewe kwa mkopo.

Matola Pia Atolewe tu kwa Mkopo, Hana Jipya
 
Kwa kweli kuna tatizo kubwa Simba....
Kweli kabisa mkuu.... tumepigwa mapema....yaani kikosi cha leo...binafsi nimeona wachezaji wa maana wanne tu... onyango....Beno.....Gadieli....na Kidogo Kahata..... wengine wote bora watolewe kwa mkopo.
Hata tadeo kama atapunguza rafu na kukaba vizuri ni mtu sana
 
Yupo slow sana kwa nafasi yake hatakiwi kuwa slow vile
 
Japo ni mapema sana kumjadili Tony Lwanga lakini kwa jicho la tatu anaonekana uchezaji wake ni wa akili pamoja na nguvu sana pia ni mchezaji anayepeleka timu/mpira mbele. Kadi zitamhusu sana mwanzoni kwa sababu inaonekana ligi alizotoka kuna matumizi ya nguvu kuliko ligi yetu lakini taratibu atapunguza matumizi ya nguvu kadiri muda unavyoenda kama ilivyokuwa kwa Fraga na Onyango wakati wanaanza kucheza ligi ya bongo. Kwa viungo wa timu pinzani watakaokutana naye watakuwa na kazi kubwa sana hasa kwenye ile mipira ya 50/50. Kama ataendelea kuimarika kadri siku zinavyozidi kwenda kama alivoonekana Zanzibar basi Simba itakuwa imepata mtu sahihi wa kuharibu mbinu za wapinzani kwa kutumia nguvu na akili kitu ambacho walikikosa kwa muda baada ya Fraga kuumia ndio maana timu zinazotumia nguvu zaidi hasa za majeshi zilikuwa zinaitesa/zinaisumbua sana Simba. Kwa wanaombeza si walaumu sana kwani kila mtu ana namna ya kumwangalia mchezaji lakini ubora wake hasa nafikiri utaonekana siku ambayo atacheza pamoja na akina Chama, Miqsone, Bwalya na wengineo.
 
Lwanga yupo vizuri Sana ila inaonekana kutocheza mda mrefu mechi za ushindani kumemuathiri kwani anakua slow ila akipata mechi nyingi anarudi katika ubora wake
 
10% ndugu
Hivi ndugu .simba ina striker wa kupambana group stage?
Why wasimchukue chikwendwe skins mugalu waachwe?
SiMara nyingi kazi ya kusajili hufanywa na kamati ya usajili.... kwa sababu ya majukumu ya kimaisha....wajumbe wake hawana muda wa kufatilia wachezaji....ushauri kwa uongozi....kamati hii ni ya muhimu sana....wangeifanya wajumbe Wake wakawa na ajira angalau ya mkataba... hii ingewasadia wajumbe kuwa na utulivu wakati wa kutafuta wachezaji.
 
10% ndugu
Hivi ndugu .simba ina striker wa kupambana group stage?
Why wasimchukue chikwendwe skins mugalu waachwe?
[/QUOTSimba hatuna mshabuliaji mpambanaji...Kagere na Mugalu wao wanasubiria waletewe kwanye sita....nje ya sita hawana madhara....Bocco kidogo anajitahidi hata nje sita...kwa kuwa anauwezo wa kukaa na mpira....tatizo lake sio mpambanaji.....akikutana na beki za Kazi kazi....anafichwa kilaini Sana....eneo hili inabidi Mo na uongpzi wavunje bank...hakuna mchezaji mzuri wa bei rahisi duniani kwa Sasa,
 
Back
Top Bottom