Tumjadili Thadeo Lwanga

 
Nisikilizeni, Lwaga ni wa kawaida. Seems Simba kwenye usajili longolongo nyingi. Msishangae tukaletewa kocha wa kawaida sana pia. Pamoja na kutokubali baadhi ya sajili lakini bado tuna timu bora sana, tunahitaji technical team makini tu.
Habari yako bro
 
Jana ilikuwa siku njema sana kwa Lwanga, jamaaa ni zaidi ya TANESCO. Anajua kuwadhibiti na kuwapiga Ribiti Washambuliaji. Simba wamelamba dume hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…