Tumjadili Thadeo Lwanga

Tumjadili Thadeo Lwanga

Tumjadili Thadeo Lwanga kwa mechi 3 za Mapinduzi Cup inayoendelea Zanzibar.

Je atakua msaada kwa Simba? Wakati tunamjadili Lwanga tuangalie na uwezo wa
1. Mkude
2. Mzamiru
3. Ndemla na mtangulizi wale[emoji116]
4.Gerson Fraga


View attachment 1675081
Kwa upande wangu huyu jamaa namuona amefiti vizuri kwenye XI zaidi anachofanya sio mtu wa kupaniki kipindi akichezewa faulo kama mkude na fraga.Labda tu aongeze umakini kwenye kuwania mipira ya juu anafanya sana faulo labda kwa sababu ni mzito ata kukimbia anaonekana tu.Ila kiukweli anacheza vizuri.
 
.
IMG-20210213-WA0002.jpg
 
Nisikilizeni, Lwaga ni wa kawaida. Seems Simba kwenye usajili longolongo nyingi. Msishangae tukaletewa kocha wa kawaida sana pia. Pamoja na kutokubali baadhi ya sajili lakini bado tuna timu bora sana, tunahitaji technical team makini tu.
Habari yako bro
 
Jana ilikuwa siku njema sana kwa Lwanga, jamaaa ni zaidi ya TANESCO. Anajua kuwadhibiti na kuwapiga Ribiti Washambuliaji. Simba wamelamba dume hapo
 
Back
Top Bottom