Tumjadili Thadeo Lwanga

Tumjadili Thadeo Lwanga

Kila mechi anapoingia Mugalu tunashambuliwa sana.
Hakabi kabisa, anatembea tu kusubiri kupitishiwa pasi huku akitafuna Big G

Hata mechi na Namungo alivyoingia ikawa Simba inacheza na wachezaji 9 uwanjani na kipa wa 10.

Jamaa ni mzito hatari, Matola alifanyie kazi hili tatizo
Mugalu mmepigwa Watani
 
Kweli kabisa jamaa anajua ila colibali ndio sijamuelewa kabisa
Jamaa ni mzito pia, labda kwakuwa hajacheza mda mrefu.
Ktk mechi na Namungo faulo aliyoipiga Kichuya alikuwa anaingalia tu. Sey anapiga free heda hata kumdistabu tu hawezi. Je akikutana na kross za AS Vita. Au wale mabingwa wa Africa, si tunakula goli Mia.
Mpira anajua ila bado mzito sana kukaba washambuliaji wepesi.
 
Mugalu mmepigwa Watani
Ndio wengi wanashindwa kupokea huu ukweli.
Mugalu anaweza akajirekebisha kama atafanya mazoezi ya kukata pumzi na kuongeza kasi ya kuhaha uwanjani.
Anacheza kama Mzee wa miaka
45.
Straika inabidi awe mwepesi na mwenye kasi, na anayeweza kupiga chenga. Kama ulivyo Prince Dube wa Azam au Asey wa Namungo.
Na sio kupumzika uwanjani na kutafunatafuna Bi G kama mtoto wa chekechea, ukisubiri kutanguliziwa pasi tu.
Mpira ni vita lazima uwe serious kama Miquissone.
Inapoambiwa unakasoro furani inabidi ufurahie ili ujirekebishe kama anavyojirekebisha Larry Bwalya alipo kosolewa.
Kukosoa ndiko kunako jenga.
 
Mie naona anahitaji muda tu, kuna dalili njema toka kwake, muda mwingi yupo eneo lake asili, hii ni holding midfielder hasa, anasimama mbele ya back 4 yake, anapiga pasi nzuri, anapiga pasi za kwenda mbele kuliko pembeni na nyuma..

Kasoro nimeona kuna faulo kadhaa, labda kutokana na uwanja, uwanja nimeona ni tatizo, mipira inawapa tabu saana wachezaji kuicontrol halaf ina speed zaidi.
 
Nakumbuka Etienne alisema huyo jamaa mazoezini kila krosi ikipigwa anafunga
 
Mpira ni mchezo wa wazi na kila mtu anaona.
Jamaa ni ama ni mvivu wa mazoezi au anaogopa sana kujeruhiwa.
Hataki kugusana kabisa, muda mwingi anatembea uwanjani.
Yaani akiingia tu ktk mechi kubwa lazima niihofie.
Sven aliliona hili ndo maana alikuwa anamuweka benchi.
Matola anataka kumridhisha kila mchezaji.
Atatukost kwenye mechi Ngumu.
 
Nahisi Kama tumepigwa tena....akiwa anakaba anacheza rafu sana tena nyingi anatumia na mikono....mipira ya juu naona inapita tu....labda tumpe muda zaidi.....ila yule beki wa kati wa majaribio.....arudushwe kwao haraka....hafai kabisa.
Simba wawe wanaomba Yanga iwape course fupi kuhusu usajili. Usajili pekee Simba walioufanya vizuri ni Barbara Gonzalez.
 
Lwanga bado ni mzito hana kasi na anapiga sana pasi mkaa. Simba imrudishe Fraga kama ameshapona au imnunue Tonombo Mukoko toka Yanga.
 
Mie naona anahitaji muda tu, kuna dalili njema toka kwake, muda mwingi yupo eneo lake asili, hii ni holding midfielder hasa, anasimama mbele ya back 4 yake, anapiga pasi nzuri, anapiga pasi za kwenda mbele kuliko pembeni na nyuma..

Kasoro nimeona kuna faulo kadhaa, labda kutokana na uwanja, uwanja nimeona ni tatizo, mipira inawapa tabu saana wachezaji kuicontrol halaf ina speed zaidi.
Na baada ya yeye kufanyiwa substitute, Timu ilikosa Balance, Midfield ya Simba ilipotea kabisa uwanjani ,Timu haikutulia tena mpaka mwisho wa mechi.
 
Lwanga bado ni mzito hana kasi na anapiga sana pasi mkaa. Simba imrudishe Fraga kama ameshapona au imnunue Tonombo Mukoko toka Yanga.
Mtu hajacheza muda mrefu halafu unasema bado mzito! Atakuwaje mwepesi wakati hana mechi fitness? Huoni kila mechi ana improve? Katika sajiri Bora za simba hii nayo imo muda utaongea
 
Kuna mchezaji anaitwa Moyo, ni mzuri kupita kiasi ana chenga anakaa na mpira na ana advnce, lakn naambiwa akrushiwa virago vyake na Matola.

kikweli sasa ndiyo naona kwann hatuna makocha. hivi unawezaje kumchukua Lwanga ukamtema Moyo?

Matola anasaliji kwa ajili ya 10% siyo kwa ajili ya uwezo wa mtu. Maana Moyo ni mzuri mnooo
 
Kwanza Lwaga hakusajiriwa chini ya Uongozi wa Matola.
Pili Moyo hamzidi kiwango Morrison ambaye naye haanzi kikosi cha kwanza.
Lwaga kama atafuliwa atakuwa mzuri sana hapo baadae kwakuwa anafiziki kubwa.
Moyo ni mwepesi mno, yaani ni mdogo sana kumbo. Hivi Simba ikiwa na wachezaji wengi saiz ya Moyo, Miquisson, Morisson, itaweza kweli kukabiliana na mijitu dizaini ya Mokoko, Kisinda, Moro, Mwanyeto, Sapong nk?
Hapo bado kukumbana ni misuli minene ya AS Vita nk.
Moyo angekuwa na umbo kuwa Angefaa.
Wachezaji wanaohitajika kwa wakati huu ni kama lile li Kolibali, jitu linalotisha ila liwe na huwezo wa kabumbu.
 
Kuna mchezaji anaitwa Moyo, ni mzuri kupita kiasi ana chenga anakaa na mpira na ana advnce, lakn naambiwa akrushiwa virago vyake na Matola.

kikweli sasa ndiyo naona kwann hatuna makocha. hivi unawezaje kumchukua Lwanga ukamtema Moyo?

Matola anasaliji kwa ajili ya 10% siyo kwa ajili ya uwezo wa mtu. Maana Moyo ni mzuri mnooo
lwanga hakusajiliwa na matola,hao kina moyo nyoni na coulibally wako Kwa majaribio,simba haina shida kwenye attacking ,lwanga ni chaguo sahihi kasign tangu last month
 
Kila mechi anapoingia Mugalu tunashambuliwa sana.
Hakabi kabisa, anatembea tu kusubiri kupitishiwa pasi huku akitafuna Big G

Hata mechi na Namungo alivyoingia ikawa Simba inacheza na wachezaji 9 uwanjani na kipa wa 10.

Jamaa ni mzito hatari, Matola alifanyie kazi hili tatizo
Wewe angalau umeongea ambacho wengi hawataki kusikia. Kutoka Mk14 ndo chanzo cha tatizo.
 
Back
Top Bottom