Uchaguzi 2020 Tumkatae Magufuli, tumkubali Lissu

Tunampigia kura Mgombea wa CCM anayetokana na Taasisi imara yenye kuheshimika Afrika na Dunia nzima,

Hatumpigii kura Mgombea wa Saccos inayotafuta fedha kukuza mtaji wake.
Utampigia wewe na mkeo
 
Huu ndo uzembe wenu! Huwezi kushinda urais kwa kutegemea kura za CHADEMA. Unahitaji kuungwa mkono na wa-TZ. Unapohitaji kura kama hizo acha kutukana wenzako maana wana wafuasi ambao pia unahitaji kura zao. Wewe unatanguliza matusi kibao! Upate kura ya nani nje ya CDM?
 
Watanzania hatuwezi kujaribisha sumu kwa kuilamba.
Hatuwezi kumpa Nchi mgombea mwingine yeyote tofauti na JPM.
Ki ukweli VVU kushika Dola bado sana. Tutauzwa mchana kweupe.
Ninachoshukuru ni kwamba, mpaka sasa JPM ana kura hata zaidi ya nusu ya kura zote.
 

UNAFIKIRI SISI SOTE NI MACHIZI KAMA ULIVYO WEWE
 
UNAFIKIRI SISI SOTE NI MACHIZI KAMA ULIVYO WEWE
Jenga hoja acha matusi,kama ni uchizi si anao mgombea wenu wa ccm,hivi Kwa MTU mzima anaweza kutaja taja mambo ya kijinga ya kudhalilisha wanawake kwenye kampeni?nakuelezeni ukweli magufuli ni muovu na tumkatae haswaa,ni dikteta na mwenye roho nyeusi sana.
 
Hakika safari hii ni lazima tupige kura kwa kumtupa nje ya ulingo Ngosha.......

Na kumpa huyu mtu jasiri sana "The Surviver of 16 bullets"
 
Delete ccm oct 28
 
Na tumkatae nani kwa kifo cha Chacha Wangwe?
Chacha wangwe alizikwa na mwili ulionekana,je azory gwanda,Ben sanane na wengine wengi miili yao iko wapi tuzike?hatumtaki magufuli ana uovu mwingi.
 
Hata wote wampigie kula lissu jpm ni raisi tu mwenye dora sio mwezio..... MNAJISUMBUA
 
Hakika NI YEYE TU.
 
Magufuli hana uzalendo wowote, msitufanye sisi watoto bwana.
Magufuli ni mzalendo wa chato sio Tanzania
Mtu anachukua hela za wahanga wa tetemeko na mafuriko anaenda kujenga kiwanja kwao kijijuni. Kwenye samba la baba yake
 
Magufuli tumeshamkataa. Raisi wetu 2020 - 2925 ni Tundu Antiphas Lissu
 
Wewe umefikaje huku siasani? Rudi kule kwenye jukwaa lako la MMU ukajadili jinsi mijini kulivyo na watoto wazuri,ndipo uwezo wako wa akili ulipo,sio huku kwa wenye tafakuri nzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulishamkataa tangu 2015 mkuu, sema tume ilituangusha sana, ila safari hii Lissu lazima arare nae mbereeee
 
Magufuli baba lao!
Majaliwa baba lao
Samia mama lao

Wataweza hao aa wapi ? Kushindana na sisi aa wapi hata wakiungana aaa wapi matusi kututukana Aaa wapi.

Mwisho wa haya yote ni oktoba 28 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…