Tumkumbuke Luteni Rajab A. Mlima

Tumkumbuke Luteni Rajab A. Mlima

Why huyu na ni luteni tu? Roho yake si sawa na askari wengine wanaofariki kusimamia taifa

Hivi Mhadhiri wa University na Mwalimu wa Primary au Secondary Schools ni sawa japo Wote jukumu lao ni kuelimisha / kukufunzi? Tujitahidi basi kufikiri kidogo na tufiche udhaifu wetu wa kujenga hoja mbele ya Great Thinkers humu. Kama hawa Askari ni sawa kwanini sasa Kozi zao zinatofautiana? Hivi na hili nalo kulijua kumbe kunatakiwa labda uwe na Elimu za Advance Diploma au Bachelor au Masters au PhD?
 
Kuna yule mmoja aliye mrestisha mtu bar maeneo ya Tandika pale my love wake alipotongozwa na mlevi,sijui kesi yake iliishaje yule komando!!!

Kuna Hakimu Tanzania asiyejipenda anaweza " kujipendekeza " kusimamia Kesi inayomhusu Commando? Hawa huwa " wanajihukumu " tu wenyewe. Na hata kama kuna huyo Hakimu " atakayejitwisha " huu msalaba wa kusimamia Kesi ya Commando wakati au baada ya Kesi akikaguliwa " nyeti " zake tunaweza kukuta " kajisaidia " hadi Kinyesi cha " Kiporo " cha wiki iliyopita.
 
kabla hujaandika hivyo ni vyema ungefaham tu hata robo ya kadhia na magum ya kupata medani ya ukomandoo, na ndipo ungekuja kulinganisha thamani ya hii nguvu kazi moja (komando rajabu) na maafisa wengine (wasio makomando).
nmeandika nikiwa na uzoefu katika kupata medani hii ngumu na adimu( not every soldier can become a commando, but all commandos are soldiers)
Heshima kwako comrade, na kwa commandos wote.
 
kabla hujaandika hivyo ni vyema ungefaham tu hata robo ya kadhia na magum ya kupata medani ya ukomandoo, na ndipo ungekuja kulinganisha thamani ya hii nguvu kazi moja (komando rajabu) na maafisa wengine (wasio makomando).
nmeandika nikiwa na uzoefu katika kupata medani hii ngumu na adimu( not every soldier can become a commando, but all commandos are soldiers)

Kudos Mkuu na umemaliza kila kitu na nadhani atakuwa amekuelewa na kuanzia leo " atawaheshimu ".
 
Msibishane na hawa vijana wa digitali kabisa nyie waacheni hawajui gharama za kumuaandaa cdo mmoja tu mpaka afikie hatua ya kuwa full operational. Vijana wao tuwaache na Kelele zao za ccm vs chadema. Inauma sana ila natamani sana vijana waamke wajue hii nchi ni zaidi ya hizo siasa zao

Shikamoo na jambo " Afande ".
 
Nzuriii. Utadumu askari wangu. Ila mpaka Sasa hujalala au upo zamu nini?

Signature yangu hapo si umeielewa " Afande? ". El Capitano de la forume ikimaanisha Mimi ni Kapteni wa JF ( tena wa kudumu ) sasa nikilala sasa hivi " Jamvi " litaenda kweli? Nikilala na Team nayo " inafungwa ". Kuhusu zamu Yes ni kweli leo nina zamu ya " kumbandua " Shemeji yako. Vipi " Afande " na Wewe sasa upo " majukumuni " nini? lla kama mpaka sasa Saa saba ( 7 ) usiku upo macho basi nimeamini kuwa na Wewe ni Commando. Hongera!
 
Hivi Mhadhiri wa University na Mwalimu wa Primary au Secondary Schools ni sawa japo Wote jukumu lao ni kuelimisha / kukufunzi? Tujitahidi basi kufikiri kidogo na tufiche udhaifu wetu wa kujenga hoja mbele ya Great Thinkers humu. Kama hawa Askari ni sawa kwanini sasa Kozi zao zinatofautiana? Hivi na hili nalo kulijua kumbe kunatakiwa labda uwe na Elimu za Advance Diploma au Bachelor au Masters au PhD?
Mkuu wewe ndiye KI.LA.ZA na mtu usiyefundishika. Umeulizwa: Je, KIFO cha Luten huyu ni special sana ukilinganisha na vifo vya askari wengine waliopoteza uhai wao pindi wakilitumikia Taifa? Wewe unadhani kwamba KIFO cha ptofessa ndio kinauma zaidi kuliko cha mwalumu wa chekechea eti kwa sababu profesa ana elimu kubwa kuliko mwalimu wa chekechea? Kama haya ndio mawazo yako, nakushangaa sana.
 
Hiyo nembo ya ndege tai ni watu pekee au special ndiyo wanavaa na si akina Ze comedy.

Pamoja na shughuli zingine, komando anashuka kwa mwamvuli, helicopta na akitokea baharini, ziwani au mtoni anatumia boti ndogo.

Vilevile anatumia kamba kupanda na kushuka kwenye miamba mikubwa na mirefu.

Ni askari wa ngazi ya juu kabisa jeshini yaani "Elite", na ilibakia kupanda na kuwa kapteni ambapo angesaidia kuongoza kikosi.

Ila ukweli unabakia kuwa jeshi lina majukumu mbalimbali hivyo ni lazima ligawe majukumu hayo, lakini kwa watu maalum wenye sifa.

RIP Lt. Rajab Mlima
 
Signature yangu hapo si umeielewa " Afande? ". El Capitano de la forume ikimaanisha Mimi ni Kapteni wa JF ( tena wa kudumu ) sasa nikilala sasa hivi " Jamvi " litaenda kweli? Nikilala na Team nayo " inafungwa ". Kuhusu zamu Yes ni kweli leo nina zamu ya " kumbandua " Shemeji yako. Vipi " Afande " na Wewe sasa upo " majukumuni " nini? lla kama mpaka sasa Saa saba ( 7 ) usiku upo macho basi nimeamini kuwa na Wewe ni Commando. Hongera!
Haya mwanangu kwa Maneno tu sikuwezi. haya msalimie shemeji. See you
 
Hiyo nembo ya ndege tai ni watu pekee au special ndiyo wanavaa na si akina Ze comedy.

Pamoja na shughuli zingine, komando anashuka kwa mwamvuli, helicopta na akitokea baharini, ziwani au mtoni anatumia boti ndogo.

Vilevile anatumia kamba kupanda na kushuka kwenye miamba mikubwa na mirefu.

Ni askari wa ngazi ya juu kabisa jeshini yaani "Elite", na ilibakia kupanda na kuwa kapteni ambapo angesaidia kuongoza kikosi.

Ila ukweli unabakia kuwa jeshi lina majukumu mbalimbali hivyo ni lazima ligawe majukumu hayo, lakini kwa watu maalum wenye sifa.

RIP Lt. Rajab Mlima
safi kabisa mkuu
 
Mkuu wewe ndiye KI.LA.ZA na mtu usiyefundishika. Umeulizwa: Je, KIFO cha Luten huyu ni special sana ukilinganisha na vifo vya askari wengine waliopoteza uhai wao pindi wakilitumikia Taifa? Wewe unadhani kwamba KIFO cha ptofessa ndio kinauma zaidi kuliko cha mwalumu wa chekechea eti kwa sababu profesa ana elimu kubwa kuliko mwalimu wa chekechea? Kama haya ndio mawazo yako, nakushangaa sana.

Nikijibizana na Wewe nitakuwa nawakilisha ile 1% ya AKILI zinazotumiwa na Watanzania wote halafu ukizingatia Mimi ni Mnyarwanda ambao mpaka jana Wanyarwanda tumetakiwa kupunguza uwezo wetu mkubwa wa KUFIKIRI kutoka 100% angalau sasa tufike hadi 95%.
 
Haya bwana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
kabla hujaandika hivyo ni vyema ungefaham tu hata robo ya kadhia na magum ya kupata medani ya ukomandoo, na ndipo ungekuja kulinganisha thamani ya hii nguvu kazi moja (komando rajabu) na maafisa wengine (wasio makomando).
nmeandika nikiwa na uzoefu katika kupata medani hii ngumu na adimu( not every soldier can become a commando, but all commandos are soldiers)

- Hakuna nafsi yenye thamani kuliko nyingine.

- Muuliza swali kauliza swali la kitoto na alitakiwa kuelimishwa tu kama alivyomjibu Nkanaga.
 
Back
Top Bottom