Tumlaumu Mungu, Tuilaumu CCM, Tuvilaumu Vyombo vya dola, au tujilaumu wananchi? Kwa rasilimali zetu kuchezewa,

Tumlaumu Mungu, Tuilaumu CCM, Tuvilaumu Vyombo vya dola, au tujilaumu wananchi? Kwa rasilimali zetu kuchezewa,

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Broad Question,

Bila kuleta ushabiki wa vyama sasa hapo ulipo vaa uzalendo ili tujadili Kwa pamoja.

Kwanza utambue Kwa rasilimali zetu kama nchi kimaendeleo hatukupaswa kua hapa tulipo sasa kama tungekua na uongozi bora na siasa safi.

Sasa tumlaumu nani, tujilaumu wenyewe Kwa kuruhusu rushwa kubwa za mabilioni na mikataba mibovu kutokea kama Kagoda, EPA, Richmond, Rada, Vipuri vya umeme, IPTL hapa tumlaumu nani?

Tuwalaumu ccm Kwa kutuletea viongozi ambao ndio huliingiza taifa kwenye matatizo makubwa ya uzembe na rushwa au tuwalaumu CCM kwa kutufikisha hapa tulipo?

Tuvilaumu vyombo vya dola Kwa kuacha kua macho wakati rasilimali zinafujwa yaani TISS, JWTZ, na vingine vingi mjue dunia imebadilika na vyomjo vya dola vinakazj kubwa ya kulinda rasilimali za nchi, madini, ardhi, misitu, wanatakiwa wawe sehemu ya ulinzi ili viongozi walafi wasigawe burebure mbuga za wanyama bila kujali hazina ya vizazi vinavyokuja.

Tuanzie hapo mjadala nani alaumiwe.
 
Rasilimali yako uliyokuja nayo unayo katikati ya mapoaja yako, kama kuchezewa uruhusu mwenyewe tu.

Una rasilimali ipi nyingine?
 
Broad Question,
Bila kuleta ushabiki wa vyama sasa hapo ulipo vaa uzalendo ili tujadili Kwa pamoja,
Kwanza utambue Kwa rasilimali zetu kama nchi kimaendeleo hatukupaswa kua hapa tulipo sasa kama tungekua na uongozi bora na siasa safi,
Sasa tumlaumu nani, tujilaumu wenyewe Kwa kuruhusu rushwa kubwa za mabilioni na mikataba mibovu kutokea kama kagoda, epa, richmond, rada, vipuri vya umeme, iptl hapa tumlaumu nani?
Tuwalaumu ccm Kwa kutuletea viongozi ambao ndio huliingiza taifa kwenye matatizo makubwa ya uzembe na rushwa au tuwalaumu ccm Kwa kutufikisha hapa tulipo?
Tuvilaumu vyombo vya dola Kwa kuacha kua macho wakati rasilimali zinafujwa yaani TISS, JWTZ, na vingine vingi mjue dunia imebadilika na vyomjo vya dola vinakazj kubwa ya kulinda rasilimali za nchi, madini, ardhi, misitu, wanatakiwa wawe sehemu ya ulinzi ili viongozi walafi wasigawe burebure mbuga za wanyama bila kujali hazina ya vizazi vinavyokuja,
Tuanzie hapo mjadala nani alaumiwe,
Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.

Mithali 4:13
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako.
 
Back
Top Bottom