Tumlaumu Nyoka au Adam na Eva?


Aisee
 
Katika uongo mkubwa wa hizi Dini, ni Huo wa Adam Na eva. Hiv ni lini watanzania mtapata akili? Binadamu wote duniani hatujatokana Na binadamu wawili walioishi miaka 6000 iliyopita...hata miaka 50,000 iliyopita binadamu walikuwepo juu ya USO wa dunia
 
McQueen, umeniacha hoi, Ina maana ni hadithi za sungura? Mbona watu wengi duniani wanaamini hivyo? Wamelogwa? Ndio maana ninasema dini ni miradi ya wajanja!angalia sasa wametuloga na kuamini vitu vya kitoto. Nikuulize kaswali kadogo, "hivi ufufuko ni kweli?".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…