hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
No ya watoto wa kiume Tanzania inazidi kupunguza ukiondoa vifo ila hata uzaliwaji wa watoto wa kiume umekuwa mdogo sana na hii kupeleka hata taifa siku za usoni kukosa nguvu kazi ya taifa lenye wanaume shupavu kama wazazi wetu walio tutangulia.
Zipo njia kazaa tunaweza kuzitumia kumpa nafasi mtoto wa kiume nae apate kujiona Yuko ulimwengu anao tambulika na kuthaminika na jamii yake inayoanza kumsahau mtoto wa kiume nazo chache ni
1. Mtoto wa kiume alindwe: Mtoto wa kiume kama anavyolindwa mtoto wa kike kwenye jamii ndivyo hivyo hivyo mtoto wa kiume anavyopaswa kulindwa kama Mali adimu ambayo isipolindwa itapotea katika uso wa nchi miaka ijayo.
2. Huduma zote za msingi zimfikie: Kuna dhana tuwape kipaombele wanawake,wnawake kwanza hii dhana sio nzuri Kwa miaka ijayo itaendelea kumdimiza mtoto wa kiume kwenye taifa na akakosa thamani yake kabisa na kuona kumbe fulsa zote ni wanawake kwanza na sio wote kwanza.
3. Wapate jukwaa lao la kusema na kutambulika na serikali.watoto wengi wa kiume wakubwa kuanzia miaka 18 hawana jukwaa ambalo linawapa nafasi nao kusema yanayo wasibu kwenye jamii ili yafanyiwe kazi kuweza kuwasaidia ili kama jamii haihitaji mtoto wa kiume kwenye taifa Kwa miaka mingi ijayo sawa.
4. Watiwe moyo: Ni vizuri kama taifa tunavyo watia moyo watoto wa kike tusimsahau mtoto wa kiume kumtia moyo hasa katika maisha kiujumla kweli uwanaume n kuwa kama Simba ila lazima tutiane moyo ili huyu Simba asife Kwa msingi wa mawazo hasa unapoona jamii mpka serikali haioni umuhimu wako inakatisha tamaa.
5. Wasikilizwe: Iko dhana mtoto wa kiume anajipambia mwenye ukiuliza jamii Kwa nn wanakwambia hapati mimba hii dhana imefanya taifa lipoteze vijana wengi wenye sumu mioyoni mwao walikosa wa kuwasikikiza SI serikali ama jamii aliye tayari kumsikiliza mtoto wa kiume hasa anayoyapitia kwenye jamii yake.
Hitimisho: Hizi ni sababu chache ambazo ili tuvuke na kupiga hatua Kwa miaka kumi mpka 25 tuyafanye hayo kulinda uwepo wa mtoto wa kiume katika jamii kama hatutaki mtoto wa kiume awepo katika jamii tusubirie taifa lenye wingi wa wanawake pekeee huko miaka ijayo.

Upvote
10