Tumnong'oneze Rais kwa Sauti ya Chini Watu Wabaya Wasisikie


Mtu amabaye hataki kukusikiliza , hatakama utamnong'oneza, yeye atakujibu kwa sauti kubwa ya kukukemea.
 
Utaambulia kelebu/Kibao. Paka ni mzuri sana wakati akikubembeleza umpe mfupa.Ukisha mpa ukitaka kumnyang'anya atakuparua makucha.
Kazi ya Mungu haina makosa.

Lini alikuja kwako Kukubembeleza?

. Ubembelezwe una nini zaidi cha kubembelezwa?
 
Kwamba ilikuwa lazima Magu atutoke Ili Sa100 aukwae upresidaa?

Nijuavyo mm sawasawa na maandiko ni kuwa, Mungu akiruhusu kiongozi wa family awe mtoto, kijana au mwanamke, anataka aipige family hiyo na KUIRUDISHA Kwa mstari.

Baada ya huyu kutupitisha ktk moto, Nuru kuu na neema itarudi tena TANZANIA.

Amen
 
Ili kuwa lazima Jpm awe rais wa JMT ili tuone aina ya rais mzalendo wa nchi hii na ilikua lazima JPM afe ili tuone wezi,mafisadi,walafi na wanafiki zidi ya raslmali za nchi hii.

Sa100 kama napenda sana dpw na mikataba yao akawape bandari za zenji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…