Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Huu ujumbe wa nyoka kifutu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu akubariki sana! Hata wakati wako ukifika, uondoke katika kheri....na kheri inapatikana kwa kusema kweli, kwa kutozidisha singizio kwa mtu kwakuwa humpendi n.kChifu Hangaya yupo hapo KITINI kwa sababu ya uwezo wake kuntu alionao.....
Chifu Hangaya yupo hapo KITINI kwa kuwa VETTING kwa ajili ya urais ilirudia kuwa UPANDE wake baada ya kuwa UPANDE wake hapo awali kukaa kushotoni mwa hayati JPM.....
Chifu Hangaya ni MMAKUNDUCHI.....na hawa "wamwakakogwa" wanajulikana vyema kwa KUUISHI MUUNGANO....kwao muungano una thamani kubwa isiyoelezeka....
Wamakunduchi hao walioitwa "wahadimu" na wenye tabia ya ubaguzi huwa wanaziishi zile imani kuu 3 za CCM....
-Binadamu wote ni sawa
-Kila mtu anastahili kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
-Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia sahihi ya kujenga jamii iliyo sawa na huru
Ni kwanini Sasa?!!!
Ni kwanini leo awamu hii ya 6 ionekane kuwa kiti cha URAIS kinalegalega?!!!
Kwa kuwa Chifu Hangaya ni mzanzibari?!!!
Wanaombagua yeye ndiyo yale masalia ya waliombagua Dr.Ahmed Salim asigombee Urais kwa kumtuhumu kuwa "HIZBU"?!!!
Je Chifu Hangaya ndiye rais wa kwanza kuingia mikataba mikubwa?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]
Je ni yeye aliyeingia mkataba na TICTS ?!!!
Je ni yeye aliyeingia mkataba na wazungu wa kule Mwadui ?!!
Vipi AFGEM ?!!
Vipi ACACIA?!!
Vipi na ARAB CONTRACTORS ujenzi wa bwawa la mwalimu Nyerere kwa zile TRILIONI 6.5?!!
Vipi na Yerpi Merkez kujenga SGR?!!!
Je ni chifu Hangaya anayetuhumiwa kashfa za:-
EPA ?!!
IPTL-ESCROW?!!
DEEP GREEN?!!
KAGODA?!!
MEREMETA?!!
TANGOLD?!!
RICHMOND?!!
Je ni Chifu Hangaya aliyekosolewa na CAG kutoonekana kile "kiasi kikubwa cha Fedha" ?!!!
Kweli ni CHIFU MKUU....mikuki yote huelekezwa kwake....[emoji1787][emoji1787]
#SiempreJMT[emoji120]
#MwenyeziMungu Utulindie na kutuhifadhia SSH wetu ,amen amen amen[emoji120]
Ilikuwa lazima litokee ili taifa lishuhudie mimburura na milofa iliyoshikiwa akili isiyokuwa na dira......minyonge yaani!Ili kuwa lazima Jpm awe rais wa JMT ili tuone aina ya rais mzalendo wa nchi hii na ilikua lazima JPM afe ili tuone wezi,mafisadi,walafi na wanafiki zidi ya raslmali za nchi hii.
Sa100 kama napenda sana dpw na mikataba yao akawape bandari za zenji.
Ilikuwa lazima litokee ili taifa lishuhudie mimburura na milofa iliyoshikiwa akili isiyokuwa na dira......minyonge yaani!
Go mama samia, gooooooooo!!!
Kushindwa kwa chemli ndo kulileta mapinduzi ya ugunduzi wa taa mbalimbali (bulbs); isitoshe kiongozi, siku hizi hakuna chemli tena bali kuna taa za wachina!Ilikuwa ni lazima bulb ziungue ili wauza chemli wafanye biashara.
FasihiKushindwa kwa chemli ndo kulileta mapinduzi ya ugunduzi wa taa mbalimbali (bulbs); isitoshe kiongozi, siku hizi hakuna chemli tena bali kuna taa za wachina!
Uwe na siku njema!!
Hahahaha umeitafsiri fasihiKwamba ilikuwa lazima Magu atutoke Ili Sa100 aukwae upresidaa?
Nijuavyo mm sawasawa na maandiko ni kuwa, Mungu akiruhusu kiongozi wa family awe mtoto, kijana au mwanamke, anataka aipige family hiyo na KUIRUDISHA Kwa mstari.
Baada ya huyu kutupitisha ktk moto, Nuru kuu na neema itarudi tena TANZANIA.
Amen
HahahahahHaya unapendelea ukuu wa wilaya wa wapi.walimu wa hivi ukiwapa hela wafundishe ushoga watakqtaa?
Swala la bandari hatuna haja ya kumnong'oneza mama, mbona yeye kaliweka hadharanai!Tumnong'oneze rais kwa sauti ya chini watu wabaya wasisikie..
Ama tuendelee kuwa shamba darasa ama turudie zama za shamba la bibi.
💫💫💫💫💫
©️ Mwl. Makungu m.s
0743781910
Ilikuwa ni lazima Yesu ashitakiwe ili herode na pontio pilato wapatane na kumaliza uadui wao.( Luka 23:12)
Ilikuwa ni lazima Yesu afe ili baraba (mfungwa) apate kuishi na kutoka gerezani. (Luka 23:25)
Ilikuwa ni lazima Afrika nyeusi ife ili izaliwe Afrika nyeupe ambayo wazinifu wanaitwa wapenzi na watembea uchi wanaitwa warembo.
Ilikuwa ni lazima falsafa ya zamani ife izaliwe falsafa mpya ili tupate wadudu wengi..
Ilikuwa ni lazima matete yainame ili upepo mkali unaovuma kwa nguvu upite, yapate kusimama tena..
Ilikuwa ni lazima bwana harusi avue suti , ili wapambe wa bwana harusi wapumzike.
Ilikuwa ni lazima Babeli yenye bustani zinazoelea angani ife ili Iraki inayotia mashaka izaliwe.
Ilikuwa ni lazima wanadamu wavurugwe lugha ili mnara wa Babeli ushindikane kujengwa.
Ilikuwa ni lazima mmasai avae nguo ili mwarabu apewe sifa duniani.
Ilikuwa ni lazima mchanga upate uwezo wa kutembea ili mashine zilizolala ziweze kufanya kazi.
Ilikuwa ni lazima taifa zima lenye maarifa ya uganga wa kienyeji lijifunze uchumi ili iwe rahisi kuwafafanulia kinachoingia na kinachotoka..
Ilikuwa ni lazima kuwatofautisha kwanza aina ya mbuzi , kabla ya kuwaruhusu wale kwenye urefu wa kamba zao.
Siyo mbuzi wote wenye kamba ndefu wanakula zaidi . Bali mbuzi wanaotusumbua ni wale waliokata kamba..
Ilikuwa ni lazima bulb ziungue ili wauza chemli wafanye biashara.
Yesu aliambatana na maskini maisha yake yote lkn alizikwa kwny kaburi la mtu tajiri asiyekuwa na mahusiano naye kabisa.
Ilikuwa ni lazima dada(umbu) yake Musa akae pembeni ya mto
Musa alipotelekezwa , Siyo tu kwaajili ya kujua kitakachompata Musa bali pia kuwa chanzo cha taarifa /maelezo yanayomuhusu Musa kwa binti wa Farao aliyemuokota.
Musa alitelekezwa na mama yake mzazi. Musa akaokotwa na binti wa Farao. Binti wa Farao akamuajiri mwanamke wa kiisrael kumnyonyesha Musa ndani ya ikulu bila kujua ndiyo mama yake mzazi na Musa.
Kwahiyo ilikuwa ni lazima Musa atelekezwe ili mama yake apate kazi ikulu ..
Ukitazama juu utakumbuka kushukuru, lkn ukirudisha macho ukatazama chini unaweza kukufuru .
Fikiria nyuma kwa shukrani, fikiria mbele kwa matumaini, fikiria juu kwa imani..
Mhe. Rais maneno haya nimekunong'oneza wewe tu . Usiwaoneshe watu wabaya.
Kila mstari utakaousoma ukiurudia tena utapata maana tofauti na uliyoipata mwanzo.
Nakusalimia kwa jina la imani , PHILOSOPHY- LOVE OF WISDOM.
Mwl. Makungu m.s
0743781910
14 February 2023
Swala la bandari hatuna haja ya kumnong'oneza mama, mbona yeye kaliweka hadharanai!
Nadhani ndiyo tunaanza kufunguliwa akili, kwa kuwa hatukuzoea mikataba mikubwa kuwekewa wazi huko nyuma tulikuwa tunapelekwa pelekwa tu na kujikuta tumeshaingia ...cha kike. Kwanza tunashukuru leo watanzania wengi tumejua michakato ya kiserikali inapofanya makubaliano ya uwekezaji na serikali zingine, kumbe kwanza kuna MoU (Memorandum of Understanding), halafi kuna IGA (Intergovernmental Agreement), halafu kuna HGA (Host Government Agreement), halafu kuna Project Agreement na kila makubaliano yana vifungu vyake, kwa kuwa nchi ina wataalamu na wabobezi katika fani mbalimbali tuwaache wafanye kazi zao, kwa utaalamu wao. Ni kweli hatuwezi kuona kila mtu atakubaliana na uwekezaji huu wa bandari kwa sababu nyingi tu, miongoni mwa hizo sababu ni kuwa:-
1-Kuna baadhi ya vyama vya upinzani ambavyo wao kazi yao ni kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya chama tawala.
2-Kuna baadhi ya watu ambao masilahi yao yataathirika pindi kampuni mpaya ikipewa uendeshaji wa bandari.
3-Kuona raisi wa kike ambaye mwenye asili ya Visiwani mwenye uthubutu wa kuweza kufanya mabadiliko makubwa hasa katika eneo la bandari ya Dar ambalo maraisi wote waliyopita jambo hili liliwaumiza kichwa kutokana na madudu yanayotokea pale bandarini kunaweza kukampatia political miles.
4-Kuna watu wanatumiwa na washindani wetu wa nchi jirani wanataka kuhakikisha kuwa bandari yetu haiwezi kuhudumia nchi zetu za jirani zilizokuwa hazina bahari. n.k.
Ni lazima sisi tukubali kubadilika ili tupate maendeleo.
Aise!Swala la bandari hatuna haja ya kumnong'oneza mama, mbona yeye kaliweka hadharanai!

Tumnong'oneze tu .Aise!
HahahahaahaNgoja tuone...
Kwamimi sioni km mkataba ni mbaya ila naona kama una mapungufu kidoogo..! Yarekebishwe, vya kuongeza viongezwe na vya kupunguza vipunguzwe..huo sio mkataba wa mtu na mtu, ni mkataba wa Nchi na KampuniChifu Hangaya yupo hapo KITINI kwa sababu ya uwezo wake kuntu alionao.....
Chifu Hangaya yupo hapo KITINI kwa kuwa VETTING kwa ajili ya urais ilirudia kuwa UPANDE wake baada ya kuwa UPANDE wake hapo awali kukaa kushotoni mwa hayati JPM.....
Chifu Hangaya ni MMAKUNDUCHI.....na hawa "wamwakakogwa" wanajulikana vyema kwa KUUISHI MUUNGANO....kwao muungano una thamani kubwa isiyoelezeka....
Wamakunduchi hao walioitwa "wahadimu" na wenye tabia ya ubaguzi huwa wanaziishi zile imani kuu 3 za CCM....
-Binadamu wote ni sawa
-Kila mtu anastahili kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
-Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia sahihi ya kujenga jamii iliyo sawa na huru
Ni kwanini Sasa?!!!
Ni kwanini leo awamu hii ya 6 ionekane kuwa kiti cha URAIS kinalegalega?!!!
Kwa kuwa Chifu Hangaya ni mzanzibari?!!!
Wanaombagua yeye ndiyo yale masalia ya waliombagua Dr.Ahmed Salim asigombee Urais kwa kumtuhumu kuwa "HIZBU"?!!!
Je Chifu Hangaya ndiye rais wa kwanza kuingia mikataba mikubwa?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]
Je ni yeye aliyeingia mkataba na TICTS ?!!!
Je ni yeye aliyeingia mkataba na wazungu wa kule Mwadui ?!!
Vipi AFGEM ?!!
Vipi ACACIA?!!
Vipi na ARAB CONTRACTORS ujenzi wa bwawa la mwalimu Nyerere kwa zile TRILIONI 6.5?!!
Vipi na Yerpi Merkez kujenga SGR?!!!
Je ni chifu Hangaya anayetuhumiwa kashfa za:-
EPA ?!!
IPTL-ESCROW?!!
DEEP GREEN?!!
KAGODA?!!
MEREMETA?!!
TANGOLD?!!
RICHMOND?!!
Je ni Chifu Hangaya aliyekosolewa na CAG kutoonekana kile "kiasi kikubwa cha Fedha" ?!!!
Kweli ni CHIFU MKUU....mikuki yote huelekezwa kwake....[emoji1787][emoji1787]
#SiempreJMT[emoji120]
#MwenyeziMungu Utulindie na kutuhifadhia SSH wetu ,amen amen amen[emoji120]
ShukraniKwamimi sioni km mkataba ni mbaya ila naona kama una mapungufu kidoogo..! Yarekebishwe, vya kuongeza viongezwe na vya kupunguza vipunguzwe..huo sio mkataba wa mtu na mtu, ni mkataba wa Nchi na Kampuni