Tumnong'oneze Rais kwa Sauti ya Chini Watu Wabaya Wasisikie

Mungu akubariki sana! Hata wakati wako ukifika, uondoke katika kheri....na kheri inapatikana kwa kusema kweli, kwa kutozidisha singizio kwa mtu kwakuwa humpendi n.k
 
Ili kuwa lazima Jpm awe rais wa JMT ili tuone aina ya rais mzalendo wa nchi hii na ilikua lazima JPM afe ili tuone wezi,mafisadi,walafi na wanafiki zidi ya raslmali za nchi hii.

Sa100 kama napenda sana dpw na mikataba yao akawape bandari za zenji.
Ilikuwa lazima litokee ili taifa lishuhudie mimburura na milofa iliyoshikiwa akili isiyokuwa na dira......minyonge yaani!

Go mama samia, gooooooooo!!!
 
Ilikuwa lazima litokee ili taifa lishuhudie mimburura na milofa iliyoshikiwa akili isiyokuwa na dira......minyonge yaani!

Go mama samia, gooooooooo!!!

Mpuuzi tu na mjinga ndiye atakaye puuza kazi kubwa ya jpm aliyoifanya kwa watanzania,mpaka sasa mnazindua miradi aliyoianzisha.

Hakuna cha maana mlichokifanya zaidi ya kuuza bandari yetu.
 
Ilikuwa ni lazima bulb ziungue ili wauza chemli wafanye biashara.
Kushindwa kwa chemli ndo kulileta mapinduzi ya ugunduzi wa taa mbalimbali (bulbs); isitoshe kiongozi, siku hizi hakuna chemli tena bali kuna taa za wachina!

Uwe na siku njema!!
 
Hahahaha umeitafsiri fasihi
 
Swala la bandari hatuna haja ya kumnong'oneza mama, mbona yeye kaliweka hadharanai!
Nadhani ndiyo tunaanza kufunguliwa akili, kwa kuwa hatukuzoea mikataba mikubwa kuwekewa wazi huko nyuma tulikuwa tunapelekwa pelekwa tu na kujikuta tumeshaingia ...cha kike. Kwanza tunashukuru leo watanzania wengi tumejua michakato ya kiserikali inapofanya makubaliano ya uwekezaji na serikali zingine, kumbe kwanza kuna MoU (Memorandum of Understanding), halafi kuna IGA (Intergovernmental Agreement), halafu kuna HGA (Host Government Agreement), halafu kuna Project Agreement na kila makubaliano yana vifungu vyake, kwa kuwa nchi ina wataalamu na wabobezi katika fani mbalimbali tuwaache wafanye kazi zao, kwa utaalamu wao. Ni kweli hatuwezi kuona kila mtu atakubaliana na uwekezaji huu wa bandari kwa sababu nyingi tu, miongoni mwa hizo sababu ni kuwa:-
1-Kuna baadhi ya vyama vya upinzani ambavyo wao kazi yao ni kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya chama tawala.
2-Kuna baadhi ya watu ambao masilahi yao yataathirika pindi kampuni mpaya ikipewa uendeshaji wa bandari.
3-Kuona raisi wa kike ambaye mwenye asili ya Visiwani mwenye uthubutu wa kuweza kufanya mabadiliko makubwa hasa katika eneo la bandari ya Dar ambalo maraisi wote waliyopita jambo hili liliwaumiza kichwa kutokana na madudu yanayotokea pale bandarini kunaweza kukampatia political miles.
4-Kuna watu wanatumiwa na washindani wetu wa nchi jirani wanataka kuhakikisha kuwa bandari yetu haiwezi kuhudumia nchi zetu za jirani zilizokuwa hazina bahari. n.k.
Ni lazima sisi tukubali kubadilika ili tupate maendeleo.
 
Nakuelewa
 
Aise!
 
Kwamimi sioni km mkataba ni mbaya ila naona kama una mapungufu kidoogo..! Yarekebishwe, vya kuongeza viongezwe na vya kupunguza vipunguzwe..huo sio mkataba wa mtu na mtu, ni mkataba wa Nchi na Kampuni
 
Kwamimi sioni km mkataba ni mbaya ila naona kama una mapungufu kidoogo..! Yarekebishwe, vya kuongeza viongezwe na vya kupunguza vipunguzwe..huo sio mkataba wa mtu na mtu, ni mkataba wa Nchi na Kampuni
Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…