Tumour

Tumour

Mjamaica

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
84
Reaction score
24
Salaam wana JF
Naomba kusaidiwa kwa mtu anaefahamu tumour je zinasababishwa na nini hasa?
Pili nasikia kuna aina na aina je ni ipi ambayo haileti kansa na ile inayoleta? tatu mtu anatakiwa afanye nini kuweza kuzuia zisiweze kuendelea kusambaa mwilini akiwa tayari ameshazipata ziwe zinazoleta kansa au ambazo hazileti kansa?
Na mwisho wataalamu je, ni matibabu gani hasa yanayotakiwa mtu ayapate akiwa na tumours?

Natanguliza shukrani wanajamvi.
 
All cancer are tumor, but not all tumors are cancerous
 
Pole sana ngoja Mzizimkavu & Dr wengine waje.
Mkuu Kennedy Ameshajibiwa na mimi ninachangia hapa tumour, also spelled tumor, also called neoplasm, a mass of abnormal tissue that arises without obvious cause from preexisting body cells, has no purposeful function, and is

characterized by a tendency to independent and unrestrained growth. Tumours are quite different from

inflammatory or other swellings because the cells in tumours are abnormal in appearance and other

characteristics. Abnormal cells-the kind that generally make up tumours-differ from normal cells in having

undergone one or more of the following alterations: (1) hypertrophy, or an increase in the size of individual

cells; this feature is occasionally encountered in tumours but occurs ... (100 of 841 words)
 
Mjamaica,

Tumuour unaweza kueleza kwa urahisi kama uvimbe(hasa usio wa kawaida),

Sasa uvimbe/vivimbe hivi hutegemea na aina yaani Benign(usio na madhara kama) vivimbe/Uvimbe yaani Malignant(Cancer)/ Saratani.

Mambo/vitu mbalimbali husababisha/vimeonyesha kuhusiana na aina hizi za vivimbe. Baadhi ni kama;

-Uhusiano wa kurithi kutoka kwa familia/ukoo.
-Uvutaji sigara
-Unywaji wa pombe/vileo.
-Magonjwa ya kuambukiza
-

Matibabu:
-Tiba ya aina ya uvimbe hutegemeana na aina ya uvimbe/saratani, mahali ilipo, madhara katika viungo vingine n.k

Upasuaji:
Moja wapo ya njia ya kupunguza au kuondoa tatizo.

Dawa:
Kutumia dawa aidha kwa mpango wa kila siku/kwa wiki/miezi hutolewa kutokana na tatizo lenyewe.

Mionzi:
Hapa mgonjwa hupata mionzi kwa awamu, huondoa tatizo.

-Hapa mgonjwa hupata tiba ya kumpatia moyo/kwani Saratani imesaambaa sehemu kubwa ya mwili angalau > 70% ya mwili.
 
Last edited by a moderator:
Nasikia kuna kesi borderline ambapo madaktari hukosa uhakika kama tumour fulani ni benigh au malignant.
 
sio kweli.kuna kitu kinaitwa biopsy,kuna sample inachukuliwa na inapimwa,wakishapima wanajua kama ni cancer au sio
Dada zipo bordeline tumors of malignant potential, yaani hazijawa malignant lakini kuna elements za kuprogress kuwa malignant.
 
Uwii sitaki kuusikia huu ugonjwa , I lost my mum ,

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hii kitu inatisha,, tumepitia kipindi kigumu sana with my mom,, alipata brain tumor iliyomsababisha apoteze uwezo wake wa kuona,,, tumehangaika sana, she did first surgery in mumbai,, ilikuwa successful japokuwa waliifanya kidogo sana maana brain ni sehem senstitive,,, we did a second one called radiotherapy in bangalore after a year,, and then a 3rd one in apollo after a year plus a second radiotherapy... Japokuwa zilimsaidia sana but mama alichoka sana,,,

Huu ugonjwa usikie tu kwa jirani ni balaaa... Muhimu ni kumuomba mungu tu atuepushe... Unahitaji budget ya hali ya juu plus muda mrefu maana hata hizo surgery zinafanywa kwa stage...

Nina imani Mungu amemsimamia b mkubwa amepona kabisa maana amechoka sana kwa madawa na surgery kubwa nyingi...
 
...and the point is?
 
Kuna ndugu yangu mmoja alipata tumor akapoteza uwezo wa kuona!at the time wanamfanyia surgery ilikua too late!she lost her life!
 
Back
Top Bottom