Mjamaica
Member
- Apr 3, 2012
- 84
- 24
Salaam wana JF
Naomba kusaidiwa kwa mtu anaefahamu tumour je zinasababishwa na nini hasa?
Pili nasikia kuna aina na aina je ni ipi ambayo haileti kansa na ile inayoleta? tatu mtu anatakiwa afanye nini kuweza kuzuia zisiweze kuendelea kusambaa mwilini akiwa tayari ameshazipata ziwe zinazoleta kansa au ambazo hazileti kansa?
Na mwisho wataalamu je, ni matibabu gani hasa yanayotakiwa mtu ayapate akiwa na tumours?
Natanguliza shukrani wanajamvi.