benign and malignant tumors ......can you continue from here?All cancer are tumor, but not all tumors are cancerous
benign and malignant tumors ......can you continue from here?
Mkuu Kennedy Ameshajibiwa na mimi ninachangia hapa tumour, also spelled tumor, also called neoplasm, a mass of abnormal tissue that arises without obvious cause from preexisting body cells, has no purposeful function, and isPole sana ngoja Mzizimkavu & Dr wengine waje.
sio kweli.kuna kitu kinaitwa biopsy,kuna sample inachukuliwa na inapimwa,wakishapima wanajua kama ni cancer au sioNasikia kuna kesi borderline ambapo madaktari hukosa uhakika kama tumour fulani ni benigh au malignant.
Dada zipo bordeline tumors of malignant potential, yaani hazijawa malignant lakini kuna elements za kuprogress kuwa malignant.sio kweli.kuna kitu kinaitwa biopsy,kuna sample inachukuliwa na inapimwa,wakishapima wanajua kama ni cancer au sio
benign and malignant tumors ......can you continue from here?
...and the point is?Hii kitu inatisha,, tumepitia kipindi kigumu sana with my mom,, alipata brain tumor iliyomsababisha apoteze uwezo wake wa kuona,,, tumehangaika sana, she did first surgery in mumbai,, ilikuwa successful japokuwa waliifanya kidogo sana maana brain ni sehem senstitive,,, we did a second one called radiotherapy in bangalore after a year,, and then a 3rd one in apollo after a year plus a second radiotherapy... Japokuwa zilimsaidia sana but mama alichoka sana,,,
Huu ugonjwa usikie tu kwa jirani ni balaaa... Muhimu ni kumuomba mungu tu atuepushe... Unahitaji budget ya hali ya juu plus muda mrefu maana hata hizo surgery zinafanywa kwa stage...
Nina imani Mungu amemsimamia b mkubwa amepona kabisa maana amechoka sana kwa madawa na surgery kubwa nyingi...