Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Naongea kama Mpenzi wa soka, mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni, Barbara amefanya Makubwa kuboresha soka la Tanzania na kulitangaza kimataifa. Alikuwa na madhaifu kadhaa kama binadamu lakini hakika amefanya ambayo watangulizi wake walishindwa. Nasema watangulizi wake Kwa sababu mbali ya awali Simba kuendeshwa Kwa mfumo wa ridhaa lakini iliwahi kuwa na Makatibu Watendaji nafasi ambayo tunaweza kuifananisha na Mtendaji Mkuu kama Barbara.
Aikudai chochote Binti, nakutakia maisha mema huko ulikopata malisho mapya.
Aikudai chochote Binti, nakutakia maisha mema huko ulikopata malisho mapya.