Tumpe Barbara heshima yake, amefanya Makubwa

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Naongea kama Mpenzi wa soka, mnyonge mnyongeni haki yake Mpeni, Barbara amefanya Makubwa kuboresha soka la Tanzania na kulitangaza kimataifa. Alikuwa na madhaifu kadhaa kama binadamu lakini hakika amefanya ambayo watangulizi wake walishindwa. Nasema watangulizi wake Kwa sababu mbali ya awali Simba kuendeshwa Kwa mfumo wa ridhaa lakini iliwahi kuwa na Makatibu Watendaji nafasi ambayo tunaweza kuifananisha na Mtendaji Mkuu kama Barbara.
Aikudai chochote Binti, nakutakia maisha mema huko ulikopata malisho mapya.
 
Tangu aiingie Simba haijamfunga Yanga jua Hilo...
 
Nafikiri sisi kama mashabiki wa Simba tunapashwa tujifunze kuwa na shukrani, nikweli amejitahidi sana kutekeleza wajibu wake kama mtendaji ktk kipindi chake na amesongesha gurudumu vya kutosha, kama kulikuwa na mapungufu ni jambo sasa la kusawazishwa na hao watakao ipata nafasi ya kuiongoza Simba, hii mambo ya kuuliza amefanya kipi kwa timu ya Simba naamini sio sawa kabisa maana masahabiki wengi tupo nnje ya utawala na huwa tunaipenda timu ikishinda ila ikishidwa tunaanza kurusha mawe wakati mfumo mzima tunaufahamu na tujua mapungufu na madhaifu yetu, itoshe kusema tunakushukuru sana Dada kwa uongozi wako na muda wako ulio utenga kusukuma gurudumu hili la kuiongoza Simba asante sana ubarikiwe mno.
 
Mi ni mwanachama wa Yanga naunga mkono hoja yako ina mashiko
 
Right
 
Umeongea yanayoiheshimisha soka, asante.
 
Back
Top Bottom