Uchaguzi 2020 Tumpe Makonda Jimbo jijini Dar es Salaam 2020

Uchaguzi 2020 Tumpe Makonda Jimbo jijini Dar es Salaam 2020

Makonda ndiye RC wa kwanza mwenye ushawishi mkubwa lakini mpenda maendeleo kwa wakazi wake.Anajitoa kwa namna yoyote ile ilimradi tu atimize azma yake kwa yale anayotaka kuona yanatendeka kupitia nyanja mbalimbali.Naamini ikitokea leo akagombea Ubunge Jimbo lolote mkoani Dar es salaam basi anauhakika wa kupata kura zaidi ya 95%

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wa mkoa bora ni Anthony Mtaka wa Simiyu.

Kama unampenda sana Bashite hamieni naye Dodoma mkampe ubunge huko kwa washamba wenzako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amefanikisha maendeleo upande gani ili hata sisi tulioko huku Buhongwa tukija tumpe nafasi
 
Ili tujue uwezo wake wa ushawishi kwa wananchi nashauri aende kugombea kwenye yale majimbo yenye changamoto kama jimbo la kawe ama Jimbo la Mbezi akishinda hapo atakuwa tutajua uwezo wake mkubwa ulivyo
 
Namkaribisha sana aje agombee Kibamba. Nina imani sana Kibamba tutakuwa tumepata mtu wa kuleta maendeleo.
 
Hv kama mtu anaweza kuleta maendeleo kwa u-rc kwakuwa ana nafasi zaidi ya kiutawala na maamuzi kwanini tena adogoshwe kwenye level ya ubunge ambapo hana mamlaka kama RC na hata jiografia yake ni ndogo zaidi??
Bashite akiwa mbunge jua ndo tayari kashakuwa Waziri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom