Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mkuu wa mkoa bora ni Anthony Mtaka wa Simiyu.Makonda ndiye RC wa kwanza mwenye ushawishi mkubwa lakini mpenda maendeleo kwa wakazi wake.Anajitoa kwa namna yoyote ile ilimradi tu atimize azma yake kwa yale anayotaka kuona yanatendeka kupitia nyanja mbalimbali.Naamini ikitokea leo akagombea Ubunge Jimbo lolote mkoani Dar es salaam basi anauhakika wa kupata kura zaidi ya 95%
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuuAkipewa jimbo anaweza kuwa waziri mkuu
Kivipi?Pongezi za dhati zimuendee Makonda kwakufanikisha TZ kufuzu AFCON19
Sio kwamba Taifa stars hua haiwezi mpira.... Tatizo hua ni bei ya bia....Pongezi za dhati zimuendee Makonda kwakufanikisha TZ kufuzu AFCON19
Sio kwamba Taifa stars hua haiwezi mpira.... Tatizo hua ni bei ya bia....
Si umeona jinsi walivyotangaza tu nusu bei, tumefuzu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi?
Kamati ya ushindi ilifunga magoli mangapiTZ imefukuzu afcon19 after 39yrs chini ya kamati ya ushindi ya Makonda!!
Pia usisahau ni utekelezaji wa ilani ya ccm, tuliahidi tumetekeleza tunasonga mbele.TZ imefukuzu afcon19 after 39yrs chini ya kamati ya ushindi ya Makonda!!
Naamini akipata huo U-PM ahadi ya kwanza itakuwa kurudisha majimbo yote wakinzani waliyoshinda. Utadhani wakinzani waliyateka na kwenda nayo ughaibuni au wao si Watanzania😂😂😂😂
Naamini akipata huo U-PM ahadi ya kwanza itakuwa kurudisha majimbo yote wakinzani waliyoshinda. Utadhani wakinzani waliyateka na kwenda nayo ughaibuni au wao si Watanzania😂😂😂😂
Pia usisahau ni utekelezaji wa ilani ya ccm, tuliahidi tumetekeleza tunasonga mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bashite akiwa mbunge jua ndo tayari kashakuwa Waziri mkuuHv kama mtu anaweza kuleta maendeleo kwa u-rc kwakuwa ana nafasi zaidi ya kiutawala na maamuzi kwanini tena adogoshwe kwenye level ya ubunge ambapo hana mamlaka kama RC na hata jiografia yake ni ndogo zaidi??
tena ya masaa 6 tuUmetekwa na nusu bei? Dezodezo!
kwa vyeti gani... fa fa fa fa fafaa!!!