Uchaguzi 2020 Tumpe Makonda Jimbo jijini Dar es Salaam 2020


Umetumwa kutest zari sio? Huyo mtu wako hafai kuwa hata mkuu wa shule ya msingi!!!

Tiba
 
Hv kama mtu anaweza kuleta maendeleo kwa u-rc kwakuwa ana nafasi zaidi ya kiutawala na maamuzi kwanini tena adogoshwe kwenye level ya ubunge ambapo hana mamlaka kama RC na hata jiografia yake ni ndogo zaidi??
Maendeleo yapi unayasemea wewe?
Unajua maana ya maendeleo kweli wewe?
 
Dar-es-salaam ina wenyewe na wenyewe ndio sisi Kinondoni wazaramo wa bagamoyo bado wapo Temeke wandengereko bado wapo na Temeke yao Ilala ndio asijaribu kbs mfano hai mrisho gambo mwaka 2015 kilichompata anajua vzuri Zungu Bado yupo Imara na km amechoka Saku Kitwana Kondo yupo Benchi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndio mkuu wa Mkoa ambae anakubalika kuliko wote toka Uhuru mpaka leo na zaidi ni mtu visionary hasa ile shauku yake ya kuona kero zote zinapatiwa ufumbuzi haraka pasi na vikwazo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali yeye alienda mbali zaidi akatuambia:Baada ya Magufuli tumpe Makonda urais. Nikacheka. Sidhani kama nilikosea kucheka kwa dharau?
Mimi sijawahi kuandika mahali ila ukweli ndio huo
Nimeshawahi kuwaza hichi kitu na ukitathmini ndivyo itakavyokuwa
Ama katiba ibadilishwe rais agombee tena baada ya 2025 au makonda achukue nafasi hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama namuona alivyokuwa anacheza namba 6 [emoji16][emoji16][emoji16]
%%
 
Mamlaka ingekua mikononi kwa jiwe angeshampa majimbo yote hapa tz

Bahati mbaya mamlaka ipo kwa wananchi labda mumpe ubunge wa vuti maalumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Dhambi ya vyeti
 
Wewe anaesema makonda apewe jumbo umefilisika kisiasa na umepayuka kiitikadi
 
Anawatuma kama watoto wadogo ahaaaa mwambieni aende Kolomije lipo wazi tena kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulonga goya mkulu labda abwere Kolomije
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…