Tumpe Maua yake: Mzee wa Taifa ni Jaji Sinde Warioba

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kwa watanzania wa sasa hakuna watu wawili wanaheshimika kama Mzee Warioba na Lissu kwa uzalendo wao uliopitiliza kwa taifa.

Cha kusikitisha waliopo madarakani hata awamu za nyuma wanafikiria familia zao kwanza kiasi kwamba hawa uwekezaji tunakosa kwasababu ya rushwa. Dangote mfano katuchoka mpaka basi kiasi kwamba inasemekana alisema Mama fake akienda Kenya kwenye mkutano hataenda! Rutto ikabidi atuongelee kama taifa.

Hawa mafisadi wanataka miradi yote iwe siri ili wawekewe pesa zao huko Dubai na Oman

Hero ni huyu Mzee kanyooka. Angalieni Mzee Wasira anavyo sikitisha
 
Nyerere aliacha substitution nzuri, tatizo kocha muandamizi hazingii tu.
 
Butiku jwa sasa amekuwa mzee wa hovyo sana mara tu baada ya wahuni kumnunua kwa vipande vichache vya fedha.
 
Kwa watanzania wa sasa hakuna watu wawili wanaheshimika kama Mzee Warioba na Lissu kwa uzalendo wao uliopitiliza kwa taifa.

Cha kusikitisha waliopo madarakani hata awamu za nyuma wanafikiria familia zao kwanza kiasi kwamba hawa uwekezaji tunakosa kwasababu ya rushwa. Dangote mfano katuchoka mpaka basi kiasi kwamba inasemekana alisema Mama fake akienda Kenya kwenye mkutano hataenda! Rutto ikabidi atuongelee kama taifa.

Hawa mafisadi wanataka miradi yote iwe siri ili wawekewe pesa zao huko Dubai na Oman

Hero ni huyu Mzee kanyooka. Angalieni Mzee Wasira anavyo sikitisha
Naunga mkono hoja 100%, Jaji Warioba apewe maua yake!

P.
 
Back
Top Bottom