wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
kwa kweli mpira wa tanzania umeingiliwa
kuna habari kuna timu ilitaka kumpa rushwa kocha wa polisi moro shs milioni kumi ili awachie ushindi uwanjani kocha alikataa katakata.
huyo mtoa hongo ambae ni dalali wa hiyo timu na ambaye mjumbe wa tff akaongea na kipa.walipoonda kipa wao atanawachuza kocha wa polisi akaambia wachezaji wake walinde goli watumie kaunta atake kushambulia.
dalali wa kazi hiyo na timu husika majina yao tunayahifadhi.
NDIO SOKA LA BONGO
afadhali mkuu umekuja mwenyewe,naomba kama ikithibitika ni kweli basi rungu lifanye kazi kama kwa othuman kazi yule mwamuzi aliyekiri kupokea mrungurawakimataifa hizi tuhuma si ndogo.Tafadhali ninakuomba uni pm unijuze zaidi au nitumie email president@tff.or.tz au tuwasiliane kwa whttsup +255754815543.Tafadhali sana tusaidiane kuondoa huu uozo kwenye mpira.
kwa kweli mpira wa tanzania umeingiliwa
kuna habari kuna timu ilitaka kumpa rushwa kocha wa polisi moro shs milioni kumi ili awachie ushindi uwanjani kocha alikataa katakata.
huyo mtoa hongo ambae ni dalali wa hiyo timu na ambaye mjumbe wa tff akaongea na kipa.walipoonda kipa wao atanawachuza kocha wa polisi akaambia wachezaji wake walinde goli watumie kaunta atake kushambulia.
dalali wa kazi hiyo na timu husika majina yao tunayahifadhi.
NDIO SOKA LA BONGO
Mkuu kama unategemea huyu jamaa akuletea habari za maana kuhusu hizo accusations atakupotezea tu muda wako wa kufanya mambo yako ya maana ya kujenga shirikisho na kuboresha mpira wetu.wakimataifa hizi tuhuma si ndogo.Tafadhali ninakuomba uni pm unijuze zaidi au nitumie email president@tff.or.tz au tuwasiliane kwa whttsup +255754815543.Tafadhali sana tusaidiane kuondoa huu uozo kwenye mpira.
masuke huo ni mtazamo wako na hisia zako tu ila ukweli wenyewe anao mtoa maada kwa nini umvunje moyo na kumkatisha tamaa badala ya kumpa ushirikiano kwa manufaa ya soka la bongoMkuu kama unategemea huyu jamaa akuletea habari za maana kuhusu hizo accusations atakupotezea tu muda wako wa kufanya mambo yako ya maana ya kujenga shirikisho na kuboresha mpira wetu.
Jana alikuja na thread yenye kichwa cha habari "Mtibwa walihongwa au walichoka" akakosa watu wa kumsapoti na hiyo thread yake, leo tena kaibuka na thread yenye maudhui yale yale na kwa kutumia tafakuri tunduizi huyu jamaa anataka kuhalalisha alichosema kwenye ile thread ile ya Mtibwa ni kwamba kwa sababu kocha wa polisi morogoro alikataa hongo ndo maana timu yake haikufungwa lakini Mtibwa waliopokea hongo ndo maana wakapigwa tano. Nawaza tu kwa sauti, unaweza kuungana na mimi kuwaza hayo au ukaenda mbali zaidi ya hapo.
masuke huo ni mtazamo wako na hisia zako tu ila ukweli wenyewe anao mtoa maada kwa nini umvunje moyo na kumkatisha tamaa badala ya kumpa ushirikiano kwa manufaa ya soka la bongo
Si useme ni Simba tu
Mkuu kama unategemea huyu jamaa akuletea habari za maana kuhusu hizo accusations atakupotezea tu muda wako wa kufanya mambo yako ya maana ya kujenga shirikisho na kuboresha mpira wetu.
Jana alikuja na thread yenye kichwa cha habari "Mtibwa walihongwa au walichoka" akakosa watu wa kumsapoti na hiyo thread yake, leo tena kaibuka na thread yenye maudhui yale yale na kwa kutumia tafakuri tunduizi huyu jamaa anataka kuhalalisha alichosema kwenye ile thread ile ya Mtibwa ni kwamba kwa sababu kocha wa polisi morogoro alikataa hongo ndo maana timu yake haikufungwa lakini Mtibwa waliopokea hongo ndo maana wakapigwa tano. Nawaza tu kwa sauti, unaweza kuungana na mimi kuwaza hayo au ukaenda mbali zaidi ya hapo.
Wewe tulia Rais akusanye ushahidi mbona umeanza kutapatapa mapema naamini Rais anataka pa kuanzia kufanya uchunguzi kwani hujui soka letu lina rushwa kubwa hadi FIFA wametuma watu kwa uchunguzi, umesahau Kado alipokuwa Mtibwa nini kilitaka kutaka kutokea dhidi ya Timu moja kubwa ya Dar es salaam naomba umuache Rais awe huru kufatilia maana taarifa kama hizi si za kupuuza kwa hoja zako nyiepesi hivyo.
Wacha majungu bhana,hizo ni mambo za Azam/Yanga...