Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 373
- 467
Ndugai emetoa msimamo wake na Kama una kumbukumbu nzuri aliwahi kusema hata kabla mpendwa wetu hajafa na ndio alipewa majibu na sababu za mSingi zilizopelekea mradi kusitishwa .Ni upi msimamo wenu kuhusu kauli ya Ndugai juu ya mradi Wa Bandari Bagamoyo ambayo Meko alikuwa anaupinga?
Mama yenu alivyokuwa Tanga mbona aliwapa salamu za mh na akasema rais anawasalimia mchape kazi,ila yeye hamtaki kumtaja katika hilo.Mumemshupalia Majaliwa Kana kwamba yeye ndiye pekee aliyetoa taarifa ya Magufuli wakati anaumwa.Hata kwa ile kauli ya "ni mzima na anachapa kazi ikulu" nayo tumpongeze [emoji102][emoji1787]
Odhis *
Yeye mwenyewe ajiandae kisaikolojia sababu watu wanamtazama Sana mwenendo wake akijichanganya bunge litafanya yake tuingie ktk election.Nchi hii inaendeshwa kwa Sheria ukipuyanga jiandae kuwekwa pembeni.Hatutaki kurudishwa utumwani.Anaepandisha mabega akizinguliwa asianze kutafuta mchawi
Wa Tanzania tupo na mama, Hata upinzani wanamuunga mama saizi, Kuna mapandikizi ya mabeberu ambao wanampinga mama, hawa mawakala wa mabeneru kama wewe mnataka kuleta vurugu hii nchi, Rais ana nguvu sana kuliko mnavyodhani maana katiba imempa nguvi kubwa mno, Sasa ngoja watu wajifanuw wajuaji ππ na uzuri mama anapata ushauri safi tu kutoka kwa watu wajanja wa hizi vitu kama kina kikwete,.Yeye mwenyewe ajiandae kisaikolojia sababu watu wanamtazama Sana mwenendo wake akijichanganya bunge litafanya yake tuingie ktk election.Nchi hii inaendeshwa kwa Sheria ukipuyanga jiandae kuwekwa pembeni.Hatutaki kurudishwa utumwani.
Ubarikiwe Sana kiongoziTunamuamini Magufuli katika uhai na umauti wake.
Dah jamaa unaongea ujinga huku ukiandika kwa tabu sana. Unaonaje utuache na mama yetu kwanza ukajifunze kuandika?Wewe mwenyewe mpinzani umekosa Sera now umekuwa chawa wa Mama . Nyerere aliwahi sema ukiona adui wako anakushangilia ujue kunamahala umekosea.Mama yenu kinyoga huyo atabiriki nyota yake ya upepo mtamkataa mbeleni huko.
[emoji106]Hata wewe utakuja kuwa mzoga kumbuka unayemtukana nayeye aliwahi kuwa anapumua na kutembea Kama wewe.Mwenye busara hawezi kudhihaki maiti hata siku moja.
Sidhani Kama tupo katika mashindano ya mwandiko.Unapaswa kunishukuru kwa sababu unaelewa kinacho andikwa na umepata fursa ya kuchangia katika mada hii japo mchango wako ni wa kipuuzi.Dah jamaa unaongea ujinga huku ukiandika kwa tabu sana. Unaonaje utuache na mama yetu kwanza ukajifunze kuandika?
Kaufukueni ule mzoga wake muwe mnausujudia pale bungeni ,nyau wa kisukuma nyie
Kuna baadhi ya watu kwa roho mbaya zao,hasadi na chuki dhidi ya hayati Magufuli wana furahia kifo chake mpaka Wana kufuru.Tusijisahau sote tutakufa jamani na mbaya zaidi hatujui siku Wala saa.Umauti ni haqq ata yeye mwenyewe alikiri hilo kuwa ipo siku atakufa, hongera kwako utaiyeishi milele .
Hamuitakii mema nchii hii nyie vibaraka wa mabeberu, Saizi tunarudi enzi za kikwete, Freedom of speech, wawekezaji kuwekeza nchini, kodi kulipwa bila mabavu, n.kWewe mwenyewe itakuwa ni mpinzani umeona umekosa Sera now umeamua kuwa chawa wa Mama . Nyerere aliwahi kusema ukiona adui yako anakushangilia ujue kuna mahala umekosea.Mama yenu kinyonga huyo hatabiriki nyota yake ni ya upepo mtakuja kumkataa mbeleni huko.
Viongozi wa Bongo karibu wote waongo.Mama yenu alivyokuwa Tanga mbona aliwapa salamu za mh na akasema rais anawasalimia mchape kazi,ila yeye hamtaki kumtaja katika hilo.Mumemshupalia Majaliwa Kana kwamba yeye ndiye pekee aliyetoa taarifa ya Magufuli wakati anaumwa.
Hivi kila mtu anayeekeza mazuri ya mwendazake ni msukuma?kumbuka kila mtu ana uhuru wa kuongea anachojisikia lkn hasivunje sheria.Jaribu kufikiria kwa kutumia ubongo na sio mku..du.Kaufukueni ule mzoga wake muwe mnausujudia pale bungeni ,nyau wa kisukuma nyie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tena msikitini.... Watanzania ni rahisi sana kuwatawala, hasa ukiwaita WANYONGE, yaani wanafurahiii ile mbaya na kusema kiongozi ndiyo huyu....Hata kwa ile kauli ya "ni mzima na anachapa kazi ikulu" nayo tumpongeze [emoji102][emoji1787]
Odhis *