Worst speaker.... Hana msimamo na ni bendera fuata upepo. Kipindi chake bunge limeyumbishwa vibaya sana na kuwa sehemu ya serikali badala ya kuisimamia serikali....Ndugai emetoa msimamo wake na Kama una kumbukumbu nzuri aliwahi kusema hata kabla mpendwa wetu hajafa na ndio alipewa majibu na sababu za mSingi zilizopelekea mradi kusitishwa .Sasa Mimi nafikiri ameamua kukumbushia maoni yake pengine kwa sababu Rais ni mpya huenda akalifanyia kazi hilo suala.
Kwa upande wangu naona spika ndugai yeye sio katika wale kundi la wanafiki sababu amesimamia alichokiamini tangu enzi za mpendwa wetu.
Mimi kwa mtazamo wangu kuhusu bandari mkataba uwekwe wazi halafu tuangalie Kama haufai ufanyiwe marekebisho dosari zake.
Alisema uwongo ndani ya nyumba ya ibada....dhambi hii utaikuta kwa Mola na ataadhibiwa kwayo bila kujali mahaba yako kwake, kumbuka kila mtu siku ya malipo atabeba mzigo wake wa madhambi, nyie CHAWA pia ni hivyo hivyo.Mama yenu alivyokuwa Tanga mbona aliwapa salamu za mh na akasema rais anawasalimia mchape kazi,ila yeye hamtaki kumtaja katika hilo.Mumemshupalia Majaliwa Kana kwamba yeye ndiye pekee aliyetoa taarifa ya Magufuli wakati anaumwa.
Majaliwa na January ni walewale….wanaunganishwa na ajenda moja….Kassimu Majaliwa hafai hana ubunifu wala maamuzi ni mjinga na mfata upepo tu afadhali hata Pinda. Aondolewe January aingie PM
Unahakika gani kuwa alidanganya?Majaliwa tokea adanganye umma wa Watanzania kuwa Magufuli ni mzima wa Afya na anachapa kazi, hana credibility tena kwa uma wa Watanzania.He is hopeless liar!
Siyo mnafiki siyo?Ndugai emetoa msimamo wake na Kama una kumbukumbu nzuri aliwahi kusema hata kabla mpendwa wetu hajafa na ndio alipewa majibu na sababu za mSingi zilizopelekea mradi kusitishwa .
Sasa Mimi nafikiri ameamua kukumbushia maoni yake pengine kwa sababu Rais ni mpya huenda akalifanyia kazi hilo suala.
Kwa upande wangu naona spika ndugai yeye sio katika wale kundi la wanafiki sababu amesimamia alichokiamini tangu enzi za mpendwa wetu.
Mimi kwa mtazamo wangu kuhusu bandari mkataba uwekwe wazi halafu tuangalie Kama haufai ufanyiwe marekebisho dosari zake.
Taarifa ya kuwa Magufuli ni mzima hata kama hakuitoa yeye peke yake inamfanya suala la yeye kudanganya umma kuwa siyo kosa?Unahakika gani kuwa alidanganya?
Na je taarifa ya kuwa Magufuli alikuwa mzima aliitoa peke yake?
Tatizo letu watanzania wengi tunapenda kufata mkumbo.
Yeye alitamka tarehe ngapi?na Magufuli kafa tarehe ngapi?na Mama yenu Kule Tanga alitamka tarehe ngapi?nafikiri tuanzie hapo.Taarifa ya kuwa Magufuli ni mzima hata kama hakuitoa yeye peke yake inamfanya suala la yeye kudanganya umma kuwa siyo kosa?
Sasa ulikuwa unamtetea kuwa hana hatia wakati hata hizi tarehe huzijui?Yeye alitamka tarehe ngapi?na Magufuli kafa tarehe ngapi?na Mama yenu Kule Tanga alitamka tarehe ngapi?nafikiri tuanzie hapo.
Ndugai emetoa msimamo wake na Kama una kumbukumbu nzuri aliwahi kusema hata kabla mpendwa wetu hajafa na ndio alipewa majibu na sababu za mSingi zilizopelekea mradi kusitishwa .