Tumrudishe Morrison Msimbazi

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Ni muda sahihi kwa sisi Simba kumrudisha Morrison (toto tundu) Msimbazi. Morrison ni toto tundu lakini kipaji kipo, anaweza kutusaidia sana pale mbele akiwa na Saido na Chama.

Chondechonde viongozi na benchi la ufundi, mtusaidie hapa Morrison arudi nyumbani.

Simba Nguvu Moya
 
Mpuuzi sana yule bwana.

Mpira anaujua ila muda mwingi anautumia kupambana na timu yake badala ya kupambana uwanjani.
Timu itakayomsajili ya hapa bongo itakuwa imenunua janga lingine ndani ya club
 
Mumemshindwa huko utopolo mnafikiri Simba ndiyo jalala?
 
Huyo ni mtopolo mwenzako anafanya kejeli tu kwa Simba
Haijarishi, mtu yeyote anayeleta ujinga ataambiwa, siungi mtu mkono kwa kanuni ya kwamba tupo team moja.

Ndio maana msimamo wangu uko wazi hatumuhitaji Manara Yanga, GSM wachukuwe hii takataka yao wakaipe ajira huko GSM.

Au TFF wamfungie maisha, huyu ni kirusi kibaya kwenye mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…