Teleshkova
Member
- Feb 14, 2017
- 76
- 136
Wewe jamaa unamawazo kama yangu hamid mao mkami hakuna kitu paleHimidi mao hawezi kucheza mpira labda karate au ushu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa unamawazo kama yangu hamid mao mkami hakuna kitu paleHimidi mao hawezi kucheza mpira labda karate au ushu
Experience, hata mataifa yaliyosonga mbele kisoka hayachukuagi viyoso vya dizaini hii kisa kawapiga cheza viyoso wenzake.Upuuzi vipi, madogo wapo vizuri sana hawa..nahisi huna taarifa zao nyingi
Kombe la Dunia 1994, Ronaldo Luis Nazario alikua ndani ya timu ya taifa, na alikua benchi hakucheza muda wote......tukitaka kuendelea lazima tujifunze walioendelea wanafanya nini, tunataka mafanikio ya ghafla mno, jamani hakuna shortcut.....Kelvin John kila mtu anajua yule mtoto anauwezo, sasa kumpeleka Afcon hata kama hata cheza ila angalau akaanza hata kuzoea zile taratibu na kujenga confidence hamuoni ni jambo la heri. Acheni kua watu wa kulaumu kila kitu. Nimeona wengine humu wanasema kikosi cha hovyo, cha hovyo vipi wakati ndio wachezaji tulio nao....Experience, hata mataifa yaliyosonga mbele kisoka hayachukuagi viyoso vya dizaini hii kisa kawapiga cheza viyoso wenzake.
Kombe la Dunia 1994, Ronaldo Luis Nazario alikua ndani ya timu ya taifa, na alikua benchi hakucheza muda wote......tukitaka kuendelea lazima tujifunze walioendelea wanafanya nini, tunataka mafanikio ya ghafla mno, jamani hakuna shortcut.....Kelvin John kila mtu anajua yule mtoto anauwezo, sasa kumpeleka Afcon hata kama hata cheza ila angalau akaanza hata kuzoea zile taratibu na kujenga confidence hamuoni ni jambo la heri. Acheni kua watu wa kulaumu kila kitu. Nimeona wengine humu wanasema kikosi cha hovyo, cha hovyo vipi wakati ndio wachezaji tulio nao....
Ni Sturm Graz mkuu.Michael lema mchezaji wa Stam graz ya ligi daraja la kwanza Austria [emoji1038] sina uhakika kama Coach Amunike alipewa habari zake .
Hapo Hana mpinzaniMashindano ya kichomekea jezi hatoki mtu hapo.