Tumsaidie Amunike kupanga kikosi cha Taifa Starts kwa ajili ya AFCON.

Michael lema mchezaji wa Stam graz ya ligi daraja la kwanza Austria 🇦🇹 sina uhakika kama Coach Amunike alipewa habari zake .
 
Upuuzi vipi, madogo wapo vizuri sana hawa..nahisi huna taarifa zao nyingi
Dickson na huyo kelvin ni upuuzi. Dogo wa simba Rashid ndio angalau alistahili, ana experience!
 
Upuuzi vipi, madogo wapo vizuri sana hawa..nahisi huna taarifa zao nyingi
Experience, hata mataifa yaliyosonga mbele kisoka hayachukuagi viyoso vya dizaini hii kisa kawapiga cheza viyoso wenzake.
 
Experience, hata mataifa yaliyosonga mbele kisoka hayachukuagi viyoso vya dizaini hii kisa kawapiga cheza viyoso wenzake.
Kombe la Dunia 1994, Ronaldo Luis Nazario alikua ndani ya timu ya taifa, na alikua benchi hakucheza muda wote......tukitaka kuendelea lazima tujifunze walioendelea wanafanya nini, tunataka mafanikio ya ghafla mno, jamani hakuna shortcut.....Kelvin John kila mtu anajua yule mtoto anauwezo, sasa kumpeleka Afcon hata kama hata cheza ila angalau akaanza hata kuzoea zile taratibu na kujenga confidence hamuoni ni jambo la heri. Acheni kua watu wa kulaumu kila kitu. Nimeona wengine humu wanasema kikosi cha hovyo, cha hovyo vipi wakati ndio wachezaji tulio nao....
 
Kweli mkuu aanze kuzoea pressure za mashindano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…