Kayoka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 2,262
- 1,956
Wakuu,
kuna dada mmoja hapa mtaani anasumbuliwa na tatizo la kushindwa ama kukosa kabisa hamu ya kula nyama (wanyama/ndege wanaoliwa) iwe ya mbuzi, kondoo, ng'ombe, nguruwe, au kuku etc.
Tatizo hili analo tangu akiwa mdogo mpaka sasa 24years.
Amewahi kujaribu kula reaction anazopata ni kutapika na kuharisha sana, muwasho mwili mzima na kukosa hamu ya kula kwa siku kadhaa.
Amejaribu kwenda hospital wakampa dawa na ushauri kakini tatizo bado na yeye anatamani sana kula vitoweo hivyo, je afanyeje?