Tumsaidie, anashindwa kula vitoweo

Tumsaidie, anashindwa kula vitoweo

Kayoka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
2,262
Reaction score
1,956
Wakuu,
kuna dada mmoja hapa mtaani anasumbuliwa na tatizo la kushindwa ama kukosa kabisa hamu ya kula nyama (wanyama/ndege wanaoliwa) iwe ya mbuzi, kondoo, ng'ombe, nguruwe, au kuku etc.

Tatizo hili analo tangu akiwa mdogo mpaka sasa 24years.

Amewahi kujaribu kula reaction anazopata ni kutapika na kuharisha sana, muwasho mwili mzima na kukosa hamu ya kula kwa siku kadhaa.

Amejaribu kwenda hospital wakampa dawa na ushauri kakini tatizo bado na yeye anatamani sana kula vitoweo hivyo, je afanyeje?
 
aachane na nyama kwani asipokula kitoweo anakufa??

natamani sana ningekuwa mm aisee ambavyo sipendi kula nyama
 
Aache kula, hayupo peke yake, mimi sili nyama wala mayai na nimeridhika. Mwanzo nilikuwa napata tabu na natamani nikiona watu wanakula ila nikila napata tatizo kama lake.

Ajikubali tu.
 
Aache kula, hayupo peke yake, mimi sili nyama wala mayai na nimeridhika. Mwanzo nilikuwa napata tabu na natamani nikiona watu wanakula ila nikila napata tatizo kama lake.

Ajikubali tu.

sawa mkuu!
nitamfikishia ujumbe.
 
samaki anakula...? basi hivyo vingine aachane navyo....!
 
Back
Top Bottom