Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Huyu bwana kanijia na jambo Lake kwakuwa ananiona nabusara naweza mpa ushauri, lakini na mimi naona kama nakosa majibu tumsaidie.
Nyumbani kwake kaja kuishi shemeji yake, ni binti mbichi tu.
Sasa shemeji anamtaka jamaa, na kamfungukia huyu ndugu.
Ila jamaa , anamwambia hilo haliwezekani kwakua kamuoa dada yake.
Binti anasisitiza mahusiano anadai akizidi kumkataa atamwambia dada yake kuwa jamaa kamtongoza.
Jamaa ana mashaka;
1. Dada akiambiwa kuwa anamtongoza mdogo wake atachukuliaje.
2. Akimkubali shemeji dada akijua , itakuwa mwisho wa ndoa.
Jamaa, afanyaje,
1. Amkubali shemeji.
2. Amkatae?
3. Amfukuze?