Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwisho wa ndoa ya wapi? unadhani hajui ndoa ngumu waoaji wanatunza kibunda na watoto wa 2006 wana miaka 18 wako tayari kwa ndoa ushindani mkubwa.Akila mzigo , dada mtu akijua si ndio mwisho wa ndoa??
Wanaume bado wapoMwanaume unakosaje maamuzi kwa kitu kidogo hivi,kwanza kitendo cha huyo shemeji kumtongoza inaonekana ni mwanaume legelege asiyejitambua.
Si afukuze huyo dogo,dada yake naye akileta ujinga fukuza wote.
Ameshindwa hata kutunza ushahidi,kwanza hawatakiwi kufika kote huko.
Kwangu, kama kweli jamaa hataki kumla huyo mdogo wa mkewe, basi aseme na mkewe kwamba dogo anazinguaHuyu bwana kanijia na jambo Lake kwakuwa ananiona nabusara naweza mpa ushauri, lakini na mimi naona kama nakosa majibu tumsaidie.
Nyumbani kwake kaja kuishi shemeji yake, ni binti mbichi tu.
Sasa shemeji anamtaka jamaa, na kamfungukia huyu ndugu.
Ila jamaa , anamwambia hilo haliwezekani kwakua kamuoa dada yake.
Binti anasisitiza mahusiano anadai akizidi kumkataa atamwambia dada yake kuwa jamaa kamtongoza.
Jamaa ana mashaka ;
1. Dada akiambiwa kuwa anamtongoza mdogo wake atachukuliaje.
2. Akimkubali shemeji dada akijua , itakuwa mwisho wa ndoa.
Jamaa, afanyaje,
1. Amkubali shemeji.
2. Amkatae?
3. Amfukuze?
Wewe hauhitaji ushauri unasogoa tu hapoAkuenda huko mkewe atahoji huo muda wa yeye kukaa na kutongozana na mdogo wake unapatikanaje?
Wewe na huyo jamaa ni HAMNAZOKwa aliyemuelewa afafanue vzr
Sawa hamnazo mwenzetuWewe na huyo jamaa ni HAMNAZO
Huyo binti ni manipulative tazama maneno yake.Ukiwa naye tayari umekuwa mtumwa wake subiri kuletewa mimba na ukikataa anamwaga ushahidi wote wa mapenzi yenu kwa dada yake.Sasa chagua kusafirisha au kuzika hapa hapa..Huyu bwana kanijia na jambo Lake kwakuwa ananiona nabusara naweza mpa ushauri, lakini na mimi naona kama nakosa majibu tumsaidie.