Akila mzigo , dada mtu akijua si ndio mwisho wa ndoa??huyu ni mwanaume wa dar kila kitu wanaomba ushauri jambo la kumaliza mwenyewe anashirikisha watu
Ale mzigo asilete ulokole, kama hawezi kula mzigo amtafutie ushahidi wa kutosha usiokua na shaka wa shemeji yake kumtakata awe nao
Aeleweke wapi,eti anataka amkule shemeji yake mbichi afanyaje? Anaogopa mkewe akisanuka!Kwa aliyemuelewa afafanue vzr
Kwani yeye kamtongoza? kulingana na stori yako hajamtongoza.Ukweli upi mkuu?
Amkubali shemejiHuyu bwana kanijia na jambo Lake kwakuwa ananiona nabusara naweza mpa ushauri, lakini na mimi naona kama nakosa majibu tumsaidie.
Nyumbani kwake kaja kuishi shemeji yake, ni binti mbichi tu.
Sasa shemeji anamtaka jamaa, na kamfungukia huyu ndugu.
Ila jamaa , anamwambia hilo haliwezekani kwakua kamuoa dada yake.
Binti anasisitiza mahusiano anadai akizidi kumkataa atamwambia dada yake kuwa jamaa kamtongoza.
Jamaa ana mashaka ;
1. Dada akiambiwa kuwa anamtongoza mdogo wake atachukuliaje.
2. Akimkubali shemeji dada akijua , itakuwa mwisho wa ndoa.
Jamaa, afanyaje,
1. Amkubali shemeji.
2. Amkatae?
3. Amfukuze?
Nimestuka , Stroke huyo mtu ni wewe mwenyewe unatafuta uhalali tu wa kumtafuna huyo demu, hiyo ni halali yako kabisa usipomla wajinga wengine watamtafuna wakati wewe ndiye unamlisha, ruka naye mwanangu.Akila mzigo , dada mtu akijua si ndio mwisho wa ndoa??
Na kweli huna busara wewe na rafiki yako.Huyu bwana kanijia na jambo Lake kwakuwa ananiona nabusara naweza mpa ushauri, lakini na mimi naona kama nakosa majibu tumsaidie.
Nyumbani kwake kaja kuishi shemeji yake, ni binti mbichi tu.
Sasa shemeji anamtaka jamaa, na kamfungukia huyu ndugu.
Ila jamaa , anamwambia hilo haliwezekani kwakua kamuoa dada yake.
Binti anasisitiza mahusiano anadai akizidi kumkataa atamwambia dada yake kuwa jamaa kamtongoza.
Jamaa ana mashaka ;
1. Dada akiambiwa kuwa anamtongoza mdogo wake atachukuliaje.
2. Akimkubali shemeji dada akijua , itakuwa mwisho wa ndoa.
Jamaa, afanyaje,
1. Amkubali shemeji.
2. Amkatae?
3. Amfukuze?
Basi amrecord kwa simu jinsi huyo bint anavyomtongoza, demu akisema anampenda ye ajibu "mi naogopa" demu akiuliza unaogopa nini yeye ajibu "mi nampenda dada yako" demu akisema dada hawezi kujua jamaa ajibu "Nipe muda nikafikirie ombi lako" demu akisema mwanaume unafikiria nini? Jamaa ajibu "Naogopa utaniharibia uvulana wangu"Akuenda huko mkewe atahoji huo muda wa yeye kukaa na kutongozana na mdogo wake unapatikanaje?
Mawazo ya mlevi...kei ni kei tu isikuharibie mahusianoNimestuka , Stroke huyo mtu ni wewe mwenyewe unatafuta uhalali tu wa kumtafuna huyo demu, hiyo ni halali yako kabisa usipomla wajinga wengine watamtafuna wakati wewe ndiye unamlisha, ruka naye mwanangu.
Mkuu mimi situmii kilevi aina yoyote, lakini kuhusu vishimo sijivungi kikijilengesha nabutua tu halafu nakausha.Mawazo ya mlevi...kei ni kei tu isikuharibie mahusiano