Tumsaidie huyu ndugu: Shemeji yake anamtaka akimkataa atamwambia dada yake

Nishawahi kutogozwa na shagazi, nikala mzingo sembuse shemeji tu. Ana tatizo la nguvu hao
 
Akila mzigo , dada mtu akijua si ndio mwisho wa ndoa??
mwisho wa ndoa ya wapi? unadhani hajui ndoa ngumu waoaji wanatunza kibunda na watoto wa 2006 wana miaka 18 wako tayari kwa ndoa ushindani mkubwa.
 
Kwenye miti hamnaga wanjezi labisa mazeee....😜
 
Wanaume bado wapo
 
Kwangu, kama kweli jamaa hataki kumla huyo mdogo wa mkewe, basi aseme na mkewe kwamba dogo anazingua
 
Huyo binti ni manipulative tazama maneno yake.Ukiwa naye tayari umekuwa mtumwa wake subiri kuletewa mimba na ukikataa anamwaga ushahidi wote wa mapenzi yenu kwa dada yake.Sasa chagua kusafirisha au kuzika hapa hapa..
 
Kula tu mjomba, ukiacha kumla ataliwa na mwingine pia ukimweleza mkeo hata kuamini, ndoitakuwa chanza cha mgogoroo, kula kistaarab kabisa
 
Isijekua mtego/mchongo wa dada yake, hakika kwa akili kama zako atakua kaishakuchoka anatafuta sababu akuache solemba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…